Mhe rais JK Kumbuka kiapo chako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe rais JK Kumbuka kiapo chako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Dec 9, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mhe ulipoingia madaraka uliapa.na baadhi ya maneno ulisema 'NITAWATENDEA HAKI WATANZANIA KWA MUJIBU WA KATIBA NA MILA ZA WATANZANIA.lengo hapa ni kukumbushia neno MILA tafadhali linda mila za watanzania kwa gharama yeyote kama ulivyoapa.

  Mhe tumesikia mataifa ya magharibi yanataka upitishe sheria ya kuruhusu ushoga na ndao za mashoga.

  Marekeni imetilia msumari tafadhali wambie hizo sio mila zetu ambazo uliapa kuzilinda kwa gharama yeyote.utajijengea heshima ukisimamia hili.najua washauri wake mnasoma jf mpenia salamu hizi.
   
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kiongozi anayefanikisha wizi wa maliasili za nchi yake hawezi kuwa na heshima/kuheshimiwa na wananchi husika!!
   
 3. B

  BMT JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  kama anategemea misaada kuendesha nchi ataweza kuwambia hao anawaomba misaada kuwa tuna mila zetu?kama anafikia hatua ya kununuliwa suti unategemea nini?ni aibu sana jaman,mh mkapa alkuwa jeuri na kiburi angeweza kuwambia lakn hyu kla saa kchekacheka tu,we unafikiri atamwambia nn obama au camerun?mtu mwenyewe wa kudesa huyu,anyway umenpandisha hasra na hii mada yako,together we can
   
Loading...