Vijana mtaani wanalia sana. sikilizeni Wenyewe... Radio Zote zimegoma kupiga hii nyimbo. Inachamba mafisadi kinona utazani ni Antivirus
Wimbo uliokataliwa redioni: Miaka 50 ya Uhuru - Wavuti
Naona umoja wa afrika mashariki unaelekea kufuata mfumo ule wa umoja wa ulaya lakini swala la kujiuliza ni nini tumejifunza kutuka umoja wa ulaya?
Sasa jamaa wanafikiria kuachana, na ni vizuri...
When the list of human rights becomes endless and forcefully incorporates lesbians,gays,etc on which grounds will we deny that theft may one day be among the human rights, if need be? check the...
Kuna mwanamke TBC alikuwa anaimmba taarabu mkesha wa miaka 50 ya uhuru, mwimbo mzima anamsifia Kikwete. Plaliponikera, eti MISHAHARA MIA KWA MIA KIKWETE AMEONGEZA. I see, wapi mishahara iliwahi...
NYUMBA YA JIRANI INAUNGUA, YETU INATEKETEA.
Tarehe 9 Desemba 2011 tutasherehekea miaka 50 ya uhuru wa nchi ya Tanganyika. Kwanza nianze kwa masikitiko kwa namna vyombo vya habari vinavyojitahidi...
kuna waziri mmoja anaitwa Prf Makame Mbalawa alikuwa amekuja muhimbili university kuja kujionea mambo ya miaka 50 yao, Baada ya kufika akakutana na mabango ya wanafunzi yenye ujumbe kama ifuatavyo...
RAIS Jakaya Kikwete hakufahamu kwa undani kilichomo kwenye muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba (Constitutional Review Bill 2011), uliopitishwa na bunge hivi karibuni, MwanaHALISI limeelezwa...
Wakat Chama cha chukua chako mapema kilipokutana mjini dodoma ili kupitia maazimio likiwemo swala la kuvua magamba,ambapo kulikua na uwezekano wa Lowasa kutoswa.Imeshndikana kwa kile...
I was very sad when my friend sent to me this quatation:
"Sounds like a joke, but……..
45 years ago, Kibaki and Michuki were in Cabinet and Kennedy was running for President. Obama...
Zitto anasema from facebook
" Spika wa Bunge anajua kwamba posho zote hulipwa Baada ya Rais kuidhinisha. Posho anazotangaza hazijaidhinishwa kwani uthibitsho wa kuidhinisha ni Masharti Mapya...
Haya jamani kesho ndo ile siku iliyokuwa inasubiriwa twendeni tukathubutu, tuweze kisha tusonge mbele maandamano kama kawaida usalama tumehakikishiwa alshabab hawatakuwa na nafasi
Wana JF,nimekuwa nkifuatilia sana mijadala ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ila nimeshangazwa na jinsi ambavyo Hayati Sokoine aidha hajaongelewa kabisa ama ameongelewa kidogo sana..
Je ni kweli...
Waswahili husema "Unaweza kuwadanganya watu mara nyingi, lakini siyo siku zote". Usemi huu umajithibitisha jana ndani ya Manispaa ya Morogoro baada ya Makamanda wa CHADEMA kuvamia mji huu na...
Makamanda wapo ndani ya Songea wakitoa elimu juu ya katiba mpya na uraia,kikao kitaanza mda wowote toka sasa.nitaendelea kuwa julisha yanayo jili watu ni wengitu hapa ukumbini. nikipata chance...
Haiwezekani kila hoja ikiletwa bungeni muiunge mkono hata kama ni upupu kwa wananchi huku mkisingizia kuwa mmetumwa na wananchi. Nani kawatuma? Msitusingizie, tangu mlipofanya mikutano yenu ya...
Nikiwa nimesafiri usiku wa jana kuja Mza, nimefuatilia kwa karibu sana sakata la Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha Samson Maingu Mwigamba ambaye leo amepelekwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
Leo nimeona nianze kuchokoza mada ya hapo juu kuweza kujua matatizo ya nchi yetu,hasa katika awamu hii ya nne ambayo maamuzi mengi ya msingi hayafanywi au yanaachwa yafe kifo cha mende.
Nionavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.