Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wahoji Jaji Nyalali, Samatta kukosa nishani za Ikulu Send to a friend Tuesday, 13 December 2011 20:24 Leon Bahati NISHANI zilizotolewa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mama Annah Makinda yawezekana amesahau kule alikotoka kutokana na kile kinachoonekana kukitetea na kukiamini, mama yangu huyu ninaye muheshimu kwa sana tu amesahau kuwa hoja aliyoitumia katika...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo saa tatu Hamad Rashid anafungua tawi jipya la Cuf Manzese karibu na mtaa wa Kosovo. Seif katoa order kwa Mtatiro kuzuia. (STF) watatumwa hapo UPDATED 12, Dec 2011: MAMBO si shwari ndani...
0 Reactions
182 Replies
17K Views
STORI ZA KWENYE BAO TUKINYWA KAHAWA NA KASHATA MDAU AADHIMISHA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA KWA KUUZA BIDHAA ZA KITANZANIA KWENYE MAGULIO YA ULAYA Wengine wakiwa wanaadhimisha Miaka 50 ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wazanzibari kilicho wasibu ni pale walipoa amini utu wa dhati kuliko kitu kwa watu wa upande wapili ,wakati upande wa pili imani zao Zimekuwa katika kitu na sio Utu ,kutanabahi kwa wazanzibari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Published On: Wed, Dec 14th, 2011Published On: Wed, i Mozambican President Armando Guebuza Mozambican President Armando Guebuza has said that there will be no conflict between his country and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka huu tumejaliwa kupata mvua zakutosha angalau mpaka kipindi hiki sijui huko mbele. lakini kila jambo zuri lina ubaya wake kwani mvua hizi zimeharibu miundo mbinu hasa barabara. hali hii...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Hizi ni google Logos kwa ajili ya maadhimisho ya kumbukukmbu mbalimbali dunia ,,km uhuru ,kuzaliwa na kufa...Nimezikuta hizi mbili za majirani zetu Kenya na Uganda..nikaamua...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Wabunge wengi wa CCM 70% ya wote walianza kupiga kampaini mapema sana kuanzia kwenye kura za maoni, walitumia pesa nyingi kutoa misaada midogo midogo kama vile harambee ya kujenga mashule...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF niliwahi kusema huko nyuma kuwa Gazeti la Raia Mwema huko tuendako ndio gazeti litakalo tumika kukiangamiza chama cha CHADEMA. Nimesoma makala ya leo kwenye gazeti hili ya Mayage S...
12 Reactions
76 Replies
7K Views
Hitimisho bila utafiti ni uvivu wa kufikiri! Wilbroad Slaa Ndugu Mhariri ni imani yangu kuwa utanipa nafasi nijibu baadhi ya hoja za Mayage zenye sura ya upotoshaji kwa manufaa ya wasomaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji kata ya Nsalala Mbeya vijijini.Chadema imenyakua vijiji 4...
2 Reactions
92 Replies
10K Views
Wakuu Baaada ya hili sakata hoja ya wabunge kuongezewa posho nina maswali nimekuwa najuliza kutoka kutoka na mazingira ya jambp lenyewe. BAJETI YA TAIFA MWEZI WA SITA ONGEZEK LA POSHO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
About 50 students have been freed from a religious school in the Pakistani port city of Karachi, where some were being kept in chains, officials say. The male students, some as young as...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
13 DECEMBER 2011 *Ataka iache kudhoofisha upinzani, kulinda amani iliyopo *Asema CHADEMA inaongoza kwa umaarufu nchini *Adai kutoridhishwa na matokeo yanayotangazwa na NEC Na Gladness Mboma...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mkuu wa wilaya ya kigoma , John Mongella amezima jaribio la baadhi ya madiwani wa manispaa ya kigoma la kutaka kujigawia maeneo katika soko la Buzebazeba lililopo Ujiji mjini kigoma. Amefanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
14 DECEMBER 2011 *Hama Rashid adaiwa kuwa chanzo cha vurugu *Mtatiro amuita muasi anayekivuruga chama hicho *Asema kama anataka madaraka afuate taratibu Na Godfrida Jola KUTOKANA na Mbunge wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
"Nchi Kwanza, Chama Baadae"- Nalipelile 'Nape' Moses Nnauye. Jumatano, Novemba 14, 2011. Ndugu yangu Nape, Nadhani jina lako ni kifupi cha Nalipelile, utanisahihisha kama nimekosea. Hakika...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wanajamvi naombeni orodha ya majina ya mabalozi wetu ughaibuni(CV zao kama zipo naomba pia) Natanguliza shukurani.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Kuhusu migogoro ya UDSM, UDOM na MUHAS Kwa mujibu wa ibara ya 63 (2) na (3) mamlaka ya bunge ni kutunga sheria na kusimamia serikali. Kutokana na mamlaka hayo kazi za mbunge ni kuwakilisha...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…