Kilicho wasibu Wazanzibari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilicho wasibu Wazanzibari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Babylon, Dec 15, 2011.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wazanzibari kilicho wasibu ni pale walipoa amini utu wa dhati kuliko kitu kwa watu wa upande wapili ,wakati upande wa pili imani zao Zimekuwa katika kitu na sio Utu ,kutanabahi kwa wazanzibari kunahitaji kazi ya ziada kujipapatuwa na watu hao .pia dini imewavunja nguvu na ndio leo jamii za kizanzibari zimekuwa mtafaruku mtupu.
   
Loading...