DC azima jaribio la madiwani kujigawia soko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DC azima jaribio la madiwani kujigawia soko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Dec 14, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa wilaya ya kigoma , John Mongella amezima jaribio la baadhi ya madiwani wa manispaa ya kigoma la kutaka kujigawia maeneo katika soko la Buzebazeba lililopo Ujiji mjini kigoma.

  Amefanya uamuzi huo baada ya kufanya ziara katika soko hilo kutokana na malalamiko ya wananchi baada ya madiwani wanaotoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wakiongozwa na meya wa manispaa hiyo Bakari Beji kutembelea eneo hilo na kujigawia vibanda kwa ajili ya maduka.

  My take; Viongozi wa namna hii ni mzigo kwa taifa sisi tumewaamini kumbe wao wana ajenda zao za kushibisha matumbo yao.wizi mtupu.

  source;majira na habarileo
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Bora hata hao madiwani wangejigawia eneo hilo (kwa halali) pengine vibanda vingejengwa na biashara ingefanyika. Hilo soko lina zaidi ya miaka 15 bila uendelezaji wa maana wa vibanda vinavyolizunguka. Tufanye biashara, tuache majungu.

   
 3. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,596
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wekavizuri hoja yako tupige hesabu vibanda viko vingapi na madiwani wangapi? alafu tulinganishe na twiga wetu wanao pelekwa uarabuni na serikali yako bila malipo
   
 4. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani Umbea mwingine noma!
   
 5. R

  Ramso5 Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tunaomba huyo Dc aje huku mwanza kusaidia kuzima jaribio la diwani mmoja wa ccm kujigawia mtaa mzima wa rufiji.na kibaya zaidi ni jaribio la kuchukua kwa nguvu nyumba ambazo wenyenazo wamegoma kumuuzia.jamaa huyu ana hela ni balaa, kuhamisha mtaa si mchezo
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  wewe ndo mbea.badala ya kujadili na kuchangia mada unaandika utumbo apa.watu wanapenda political post ili wazitumie kuiba.hao madiwani ni mfano mzuri.2015 tunawapiga chini.
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hata huku moshi
  mjini tunaumia sana.jamaa wanajigawia tenda na maeneo mbaya kabisa.
   
Loading...