Google logo ya Uganda Independence Day na Kenya Independence Day....Tanzania !? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Google logo ya Uganda Independence Day na Kenya Independence Day....Tanzania !?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kalou, Dec 13, 2011.

 1. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  uganda11-hp.png kenyaind11-hp.jpg
  Hizi ni google Logos kwa ajili ya maadhimisho ya kumbukukmbu mbalimbali dunia ,,km uhuru ,kuzaliwa na kufa...Nimezikuta hizi mbili za majirani zetu Kenya na Uganda..nikaamua kutafuta ya Tanzania /Tanzania Bara /Tanganyika nikaikosa..

  Hakuna logo yoyote iliyotengenezwa kwa ajili ya 09 december....kwani JK hakuwahi kufika mitaa ya hawa jamaa au dharau tu...
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Kwani lazma jk?
   
 3. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nadhani imekuwa vigumu kwa Google kujua kama ni sherehe za Tanganyika au Tanzania (hata sisi wenyewe hii imetupa matatizo). Tungoje 2014!
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Tanzania haijawahi kupata uhuru.
   
 5. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Swala sio "uhuru" wa Tanzania bali kusherehekea miaka 50 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (nadhani hiyo ndiyo yenye nembo. Nembo ya Tanganyika tulishaitupa kapuni, kama sikosei)!
   
 6. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nadhani kunakuwa na makubaliano/maombi/mkataba fulani kama si free stuff... Je inaongeza chachandu ya sherehe?? ndio na hapana inategemea uko wapi... Kila laheri Uganda, Kenya on your Independece Day!!
   
 7. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hizo nchi zinatawaliwa na madikiteta.
   
 8. Fatal5

  Fatal5 Senior Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Google sio wajinga wakati wanajua historia ya Tanganyika na Zanzibar ukweli ni kuwa 1961 kulikuwa hakuna nchi inayoitwa Tanzania.
  jina la Tanzania liliundwa late 1964.
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kweli JMT imetimiza miaka 50?
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]
   
 11. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana hakuna logo ya Google maana Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina miaka 50!
  Yenye miaka hamsini ni Jamhuri ya Tanganyika ambayo kama usemavyo ilishatupwa kapuni...
   
 12. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Tena sio late 1964, lilichomekwa kiaina mwaka mmoja baadaye...
   
 13. fige

  fige JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uko sawa kabisa Mkuu.Bado inatawaliwa toka ilipoasisiwa.
   
 14. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Kwenye RED Kuwa makini mkuu, sidhani kama uliamua kufanya mzaha...
   
 15. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  [​IMG][​IMG][/QUOTE]

  google kenya.jpg

  My Tanganyika?
   
 16. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Udanga na kanya..nimezituka...purely typing errors
   
 17. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Mkitumia muda wenu kucheki google logos mtaona karibia nchi zote zina Zimetengenezewa logo ya siku za uhuru wao...Hivi hata tukisema tutume maombi Google watengeneze logo yetu tutawaambia kuwa ni ya nchi gani..? na nembo au bendera ipi itumike kutengeneza hiyo logo!!!?
   
 18. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Zote..? maana ni nchi karibia zote zina google logos kwa siku zao za uhuru
   
 19. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mchanganyo mtupu, Tanzania, Tanzania Bara, Tanganyika....
   
 20. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  naona hata Google hawatuelewi
   
Loading...