Kiini Cha Wabunge Kupenda Posho hiki Hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiini Cha Wabunge Kupenda Posho hiki Hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgt software, Dec 14, 2011.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  Wabunge wengi wa CCM 70% ya wote walianza kupiga kampaini mapema sana kuanzia kwenye kura za maoni, walitumia pesa nyingi kutoa misaada midogo midogo kama vile harambee ya kujenga mashule, mazishi, kuleta maji huko vijijini mwao, ili wapate tiketi ya kupitishwa kwenye kura za maoni. Fedha nyingi zimekopwa kwenye mabenki, watu binafsi na wafanyabiashara.

  Wabunge wengi waliofanya hivyo wengi wako hoi kwakuwa wanadaiwa sana, hata haya magari waliyokopa ni mzigo mkubwa sana.
  kwa hiyo amna jinsi nyingine ni kuwakamua wananchi wake bila huruma, wakiwaonea huruma watahaibika wao kwa kuwa mikopo mingi inawakaba ndio maana wabunge makini kama wa chadema, hawakufanya hivyo kwa kuwa walijihamini ndio maana hata wao hili wanalipinga, hila mmoja wa wabunge Mh. Shibuda aliingia katika anguko hilo akiwa CCM kwenye kura za maoni hivyo kupingana na posho kutampelekea kuaribikiwa, na yuko ki maslahi zaidi kuliko watu wake.

  Kingine ni kuwa wabunge wengi wazee walizoea raha na starehe sana, ndio maana sasa hivi wanaona vijana wenye nia ya kuikomboa nchi yao zidi ya Mabeberu ya Kitanzania, wanaona wanawaharibia sana, hivyo wanajitahidi sana kukusanya posho wamalizie muda wao kwakuwa kasi ya sasa hawaiwezi tena kwani wengi hawajui ni kwanini wako bungeni, michango na mipango ya kuendeleza nchi hawamo kabisa, ndio maana zomea zomea na malalamiko mengi kuwa bunge limeharibika yanatokea sana , kwa kuwa kwenye zama zao ndiyo mzee ndiyo ilikuwa inatawala.

  Mwisho enyi wabunge itazame Tanzania yetu jinsi ilivyoachwa mifupa, enyi wabunge vijana epukana na vizee vipenda posho, tumikia wananchi wako waliokupa ajira na uwakilishi, jitahidi kula mulo mmoja kama sie chini ya dola 2 msiwe na vitambi , pambaneni mpaka kieleweke. Karibu tena tusherekee Tanganyika mpya .
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wanasiasa wetu ni wanafiki wakubwa na kama alivyosema William Hazlitt:- A hypocrite despises those whom he deceives, but has no respect for himself. He would make a dupe of himself too, if he could...
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nawaomba wabunge wenzangu wote tuliomo humu ndani tufumbe macho tuioneehuruma nchi hii

  ZITTO KABWE
  Mbunge - Kigoma Kaskazini(CHADEMA)
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  sasa ni wakati wa kutoa list ya vizee vipenda posho na kufuatilia vilifanya nini kwao, wameleta maendeleo yapi, yasije yale ya IGUNGA ya CCM kushinda kiduchu na sababu za kushinda ni kwa kuwa serikali iliwakumbuka kwa muda kwa kuwapelekea chakula cha mwezi mmoja wakauza kura zao.

  Wewe mbunge unalalamika , wakati hujui sasa hivi kilo ya sukari ni sh. ngapi , maharage na mchele sh. ngapi, ni kwa kuwa enzi zako uliteuliwa kuwa kada wachama (hata kama hukuwa na Elimu) wakupa ukuu wa mkoa bure au wilaya, kila kitu ulikuwa unapewa bure,
  kuanzia chakula hadi pombe ukala ukavimbiwa ukawasahau wenye shida, ulipotemwa ukaenda gombea ubunge kwa kisingizio cha kujuana na RAIS , leo hakuna hayo tena hakuna ulafi tena , na wewe ndiye uliyeshauri kuuza madini, vitaru vya wanyama na kuficha pesa nje, huku ukiwaacha watanzania wakila mapanki wewe ukifurahia mapaja ya kuku sie speed (Yaani Miguu ya kuku na utumbo)
  ona sasa na Rais anashutuka juu ya ulafi wako, na wewe katibu unayesitaafu angalia ukae na manvi zako huko , usijaribu kugombea ubunge maana posho ndo basi tena waliopo watabaki na mishahara, kwa kuwa mliacha kazi wenyewe kuomba uwakilishi, kama uamini Muulize Kafumu pale kwa Jairo
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hawa wabunge utadhani wanaishi sayari nyingine na hii Tanzania wanaisoma kwenye vitabu tu
   
 6. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Tunawaahidi tutabanana nao na hakuna rangi wataacha kuona
   
 7. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  ili kupunguza matatizo yatokana na kujipendelea sana kuna haja ya kuweka vigezo vya kumpata mbunge wako , angalau hizi zifuatwe.


  1. Elimu ya Chuo kikuu, asiwe amechakachua vyeti na digree Feki za kuunga unga.
  2. Anamili nini kihalali, (analipa kodi TRA mali zote alizonazo) kama aliwai kukwepa inakula kwake,
  3. Asiwe na KITAMBI maana kitambi kitamfanya asinzie Bungeni na kupitwa na michango ya maendeleo.
  4. Awe na Mke mmoja(akiwa na wake wengi kuwahudumia tutarudia yale ya kiposho posho)
  5. Umri mwisho Miaka hamsini na tano, ili kuepuka wastaafu walio haribu uchumi kujirudia humu.
  6. Asiwe Mfanyabiashara yasije yakawa ya CHAMI kukumbushia kibali cha kukata mbao bungeni.
  7. Asiwe na watoto wa nje ili kuepuka migongano ya kimaslahi juu ya watoto wake.
  8. Awe anajua Katiba kwa ukaribu zaidi kwani kuna wengine wako bungeni hawajawai kuiona.

  mengine ongezea
   
 8. D

  Dopas JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sababu nyingine nyepesi ni kuwa waheshimiwa, hasa wazee wanaperekeshwa sana na maCD, na ili kuwamudu hawa lazima wawakatie mafungu bila kuhesabu, ndio maana walimkomvince bi kiroboto kuwa maisha dodoma kwa wabunge ni laki 2 kwa siku.
  Hiyo ni pamoja na malazi, chakula, vinywaji na kumlipa cd kila mkutano mpya. Kama huamini wakati wa Bunge ukiwa Dodoma nenda club maarufu kama 84 na mengine, utashuhudia hela ya walipa kodi inaenda wapi.
   
 9. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wako kwenye wrong bus!
  Konda puliiiizzzzzzzzzz washusheni hawa....
  Kwani ukikosea bus huruhusiwi kushuka? Kamuulizeni Mzee Rupia alivyogombea ubunge wa Ukonga ni kisha kuona kumbe its not fun aifanyaje na hatimaye hakurudia tena kugombea!
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Walizani kuwa mbunge ni sawa na kuinvest mahala
   
 11. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Rafiki you can't be equally sarcastic and to the point! Kudos

  Hawa jamaa wa ccm wamepoteza kabisa utashi na heshima mbele ya jamii ya Tz. Imebaki kutumia vitisho, polisi/UWT na nguvu ya hela lakini karibuni tu nazo zitashindwa. Hivyo vigezo hatoki mtu!
   
 12. King2

  King2 JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  WANAPENDA SANA FEDHA ZA BURE NA MIVITAMBI TAMBI YAo.
   
 13. O

  Ok'neil Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  84, maisha, royal vilagge na la-aziz pia. Wanadai maisha magumu dom, kwani sisi wengine tunaoishi hapa dom maisha mepesi kwetu?
   
 14. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Tena mbunge kama majimarefu jamani watanzania hatujiulizi? wabunge na mawaziri wenye njaa ndio wanatumaliza mtu kakopa kahonga apate ubunge unadhani atalipaje deni? unadhani vijukuu pale udom vitaishije bila babu zao kuwezeshwa? na mnajua vijukuu vinavowakomesha...anyway point ni kwamba chadema ianze maandalizi mazuri na kutoa elimu kwa wapiga kura kwenye kila jimbo lenye vibabu wa ccm..
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wakati wakusheherekea Tz mpya waja nao sio sasa
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Je wewe umeionea huruma? Kama ndiyo mbona tangia uwekwe kwenye hiyo sekta nyeti ya madini umebadilika? Hujasimama imara kama awali?
   
Loading...