Barabara za mitaa katika jiji la Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara za mitaa katika jiji la Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by comte, Dec 14, 2011.

 1. c

  comte JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  Mwaka huu tumejaliwa kupata mvua zakutosha angalau mpaka kipindi hiki sijui huko mbele. lakini kila jambo zuri lina ubaya wake kwani mvua hizi zimeharibu miundo mbinu hasa barabara. hali hii inawaweka wawakilishi wetu katika mtihani wa kuwapima umakini wao. wambunge wetu mko wapi?

  Madiwani wetu mko wapi? bunge tunajua limesimama na hivi karibuni hatujasikia mpango wa kuwepo kwa maandamano kokote. tuhamasishane tukarabati barabara zetu, au kwa vile nyinyi mlisema mkiwa wabunge matatizo yetu yote yataisha tutengenezeeni hizo barabara.
   
 2. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  si hayo tu!!!!!!ni mengi!!!
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nadhani sehemu nzuri kuanzia ni pale kwa Mkurugenza Wilson Kabwe, yeye ndio ana kasma ya ujenzi wa barabara. Wabunge na madiwani watatupiga kiswahili na siasa tu, labda watuhamasishe tushiriki nguvu kazi kama enzi zetu wakati mzee mchonga yupo.
   
 4. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yapi hayo?Au unamaanisha ya Jijini Mwanza?
   
 5. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wabunge na madiwani hawawezi kuzuia mvua zishinyeshe
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Kama Kikwete alivyosema hawezi kuleta mvua tupate umeme.
   
 7. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  ndo maana yake!!!!ulidhani ya Mbowe?
   
 8. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Halafu unajiita Mwana Chadema.Wana CHADEMA ni watu makini pamoja na VIONGOZI WAO,sio ma IDIOT kama wewe.
   
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280

  akili zenu zinafanana na zinalingana pia.
   
 10. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  pole kama nimekukwaza!!!
   
 11. R

  Ramso5 Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mwanza hatuna madiwani unategemea diwani kama joseph kando mkama wa ccm atafanya nini maana tunasikia yeye kazi yake ni kuchukua kwa nguvu nyumba za watu kwa kuwa yy ni bilionea na analindwa na mahakama
   
 12. m

  muhimili Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenje aliahidi daraja karibu na coconut hotel vipi?
   
 13. dony2680

  dony2680 JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mpk sasa tumeshajua kumbe cdm jeuri yao ni kwenye majukwaa tu na maandamano coz jiji lote la mwanza kuanzia madiwani meya mpk wabunge wote ni cdm lakin hamna cha maana kila idara,mwanza iliyokua inachukua namba moja kwa usafi nasikia eti mwaka huu ndo jiji la kwanza kwa uchafu,wenje yeye amekalia kuwajali machinga tu baaasi!
   
 14. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  wabungena madiwani wakiwa kama viongozi wandamizi siyo hadi wapate fungu toka kwa KABWE nilitegemea watuhamasishe ili tutumie nguvu zetu wenyewe kukarabati barabara hizo wenyewe kama wakazi wa mitaa hiyo kwa maendeleo ya kweli yataletwa na wananchi wenyewe wakiwa na ushirikiano mzuri na viongozi wao.
   
 15. J

  JALUO Senior Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  pumbavu..we mbwa kabisa kwani una utashi wa kufikiri....unadhani mvua zinaletwa na cdm?kalale umngoje cameroon
   
 16. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ama kweli kilio cha wengi kinanoga, huku Makambako mambo ni hayahaya ya mvua kuharibu barabara! Jamani madiwani muwe wabunifu sio muda wote siasa.
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu barabara zinatengenezwa na maandamano?
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Zingetengenezwa na Mabilion yaliyotumika Sherehe za 50 ya "UHULU" wa Tanganyika...ama???
   
 19. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Madiwani wote ni cdm huo ni uongo ccm ina madiwani halafu tupe hali ya barabara ambako madiwani wa ccm wanatoka ndo tujue unachomaanisha vinginevyo umetumwa
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  "UHULU"
  Sio wewe ni Tusker baridii
   
Loading...