Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji kata ya Nsalala Mbeya vijijini.Chadema imenyakua vijiji 4 huku CCM ikiambulia kijiji 1 tu.Katika uchaguzi wa vitongoji Chadema imeshinda vitongoji 9 huku CCM nayo ikishinda vitongoji 9.Uchaguzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki. Source Nipashe Uk.13