Bajeti- ina umuhimu na maana gani na kwa nani?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu
Baaada ya hili sakata hoja ya wabunge kuongezewa posho nina maswali nimekuwa najuliza kutoka kutoka na mazingira ya jambp lenyewe.

BAJETI YA TAIFA MWEZI WA SITA ONGEZEK LA POSHO ZAWABUNGE MWEZI WA NOV. WHY?

Zaidi ya kushtuka kuhusu ongezeko ila kiasi kilichotakiwa na waheshimiwa nilishtuka zaidi na kujiuliza kwa nini maabadiliko makubwa ayanahusu ambo ya shiko (fedha) yafanyike nje ya mwaka wa fedha. Je
  • Fedha za ongezeko la posho hizo zinatoka kwenye wapi au kwenye fuko gani
  • Hivi treasury kuna mapesa yamekaaaa tuu bure yanasubiri matumizi. Ina maana tuna excess ya finance?
  • Bajeti ipo kwa ajili ya watu na taasisi gani? Najua una walimu wao wakiomba ongezeko wataambiwa bajeti hairushu. Vipi Mahakama? Vipi Ikulu, Vipi .........


Nawasilisha kwa mjadala
 
Back
Top Bottom