Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

..kama Zenj ni nchi kwanini isiwe na Benki kuu na sarafu yake yenyewe? ..pia kwanini isiwe na majeshi yake na vyombo vingine vya ulinzi na usalama? ..kwanini Zenj wasiwe na mabalozi wao wenyewe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuesday December 27, 2011 By TONY ZAKARIA, 8th October 2011 @ 16:00, ONCE upon a time, there was this cheeky chap who asked Prophet Issa bin Maryam what he should do to obtain a ticket...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau mm si mfuasi wa vyama vinavyopenda kuwavua wawakilishi (madiwani, wabunge labda rais mbeleni) uanachama kitu ambacho kinapelekea wao kupoteza uwakilishi wao kutokana na katiba ya sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Happy new year!mwaka 2011 unapita na mambo yake yote yanapita.Ni mwaka uliokamilisha idadi ya miaka hamsini ya uhuru wa nchi yetu toka mikononi mwa wakoloni.Tumekumbuka mengi kutokana na machungu...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Kuna methali inayosema 'maneno matupu hayavunji mfupa'; ambayo mara nyingi yamesikika yakitamkwa kuoanisha kauli za wanasiasa watanzania. Je unadhani msemo huu umechangia wanasiasa wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (Cuf), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema ni muhimu kwa sasa Zanzibar kuwa na benki kuu yake ikiwa inataka kutumia kikamilifu rasilimali zake kujenga uchumi...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
http://vimeo.com/28494538 http://www.vimeo.com/28494765 http://www.vimeo.com/28495126 http://www.vimeo.com/28495132 http://www.vimeo.com/28495463 http://www.vimeo.com/28495672...
6 Reactions
341 Replies
29K Views
Juzi nilipendekeza hapa kuwa sheria ya mchakato wa uundwaji wa katiba mpya inaweza kuwa challenged mahakama kuu kwa kukinzana na katiba. Leo mwananchi limeripoti na kumnukuu rais wa Tanganyika...
2 Reactions
75 Replies
7K Views
nnawapongeza sana wale wote walioshinda kuanzia wa chama changu na hata wapinzani bado ccm itaendelea kutawala bara na zanzibar sasa tupunguze siasa tushirikiane kujenga nchi
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Mzee wa upako amejitokeza hadharani na kuishambulia CCM na viongozi wake, Amesema maendeleo ya CCM ndani ya miaka 50 ni sawa yapo mbali sana na kuyafananisha na mtu mzima kuvaa nepi...
0 Reactions
95 Replies
11K Views
Published On: Tue, Dec 27th, 2011 Tanzania | Kassim Majaliwa Deputy Minister in the Prime Minister’s Office (Regional Administration and Local Government – Education) Kassim Majaliwa has asked...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
27 December 2011 Kizitto Noya HATIMA ya uanachama ya Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed inatarajiwa kujulikana leo atakapojieleza mbele ya Kamati ya Nidhamu na Maadili ya chama hicho...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilipatwa na mstuko mkubwa na ikanizukia sintofahamu ndani ya akili na nafsi yangu pale niliposoma kwenye gazeti la Mwanahalisi Seif Sharrif Hamad anapodai kaambiwa kwamba Sheikh Ponda na Sheikh...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Dr shein ni rais wa zanzibar ambaye wengi wetu tulikuwa tunamfahamu kama mzee wa mikasi. Nimekuwa namfuatilia kwa karibu utendaji wake tangu ashike madaraka. Sasa hivi wamefikia miezi sita tangu...
7 Reactions
76 Replies
7K Views
Hivi karibuni kumezuku tabia ya viongozi wa Zanzibar kuwahamasisha wananchi wao kudai mambo ambayo wao viongozi wanaona ni kero ya msingi katika Muungano. Tena wanawasaidia hata kujenga hoja kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nachukua fursa hii adimu kutoa hongera kwa viongozi wa NCCR Mageuzi kwa kuonyesha UJASIRI wa kuwaita viongozi na wanachama mbele ya vikao halali na kuchukua maamuzi magumu ya kuwavua uanachama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia wanasiasa wengi kutoka upinzani wanaohamia au kurudi CCM hunufaika kwa kupewa post mbalimbali na baadaye hutupwa kapuni, kama nitakavyowataja baadhi ya waliotupwa baada ya kula...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
VIONGOZI na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya ufisadi, wameshauriwa kutoitumia Sikukuu ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo (Krismasi) kama siku ya kihistoria...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamvi people,wote mmsikia kauli ya mkuu a mkoa wa DSM kuhusu athali za mafuriko,amegusa kwamba wale watakaorudi mabondeni basi serikali haitahusika,pindi maafa yakitokea tena,miye namkemea kwa...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Katibu Mkuu wa CUF Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad Mgogoro unaofukuta ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), umeingia sura mpya baada ya baadhi ya wanachama na waasisi wa chama hicho Wilaya ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…