CUF haitaanzisha Central Bank ya Zanzibar - Maalim Seif | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF haitaanzisha Central Bank ya Zanzibar - Maalim Seif

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by JokaKuu, Oct 5, 2010.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,769
  Likes Received: 4,982
  Trophy Points: 280
  ..kama Zenj ni nchi kwanini isiwe na Benki kuu na sarafu yake yenyewe?

  ..pia kwanini isiwe na majeshi yake na vyombo vingine vya ulinzi na usalama?

  ..kwanini Zenj wasiwe na mabalozi wao wenyewe na kuwa wanachama ktk taasisi na mashirika ya kimataifa?

  ..pesa za mafuta yaliyovumbuliwa Zenj zitahifadhiwa wapi ikiwa Maalim hataki kuanzisha Benki Kuu ya Zanzibar?

  ..Maalim Seif Sharrif na CUF waache kuwang'ang'ania wa-Tanganyika. kauli kwamba CUF haitaanzisha benki kuu yake yenyewe ni kinyume na matakwa ya wa-Zenj kuwa nchi kamili inayojitegemea.   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,769
  Likes Received: 4,982
  Trophy Points: 280
  ..hiki ndicho alichokisema Maalim Seif wakati wa kampeni za Uchaguzi.

  ..leo amegeuka anazua kwamba anataka Zanzibar iwe na Benki Kuu yake yenyewe.

  ..does this man mean what he is saying?

  ..je, Maalim anazusha tu mambo haya kama njia ya kuepusha mjadala unaohusu utendaji wake ktk chama?
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Huyu sasa kachanganyikiwa anaonyesha hali yake halisi ukweli anataka wajitenge kasema uraisi uwe wakupokezane ,mambo ya muungano yazungumzwe huyu sasa wakutupia jicho la tahadhari wanataka kupandia mgongoni mwa Tanganyika
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  siku wana CUF wakijua seif anawazungusha watamla mzima
   
Loading...