Kikwete avunja record 14 !!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete avunja record 14 !!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpendanchi-2, Oct 11, 2010.

 1. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wandugu zangu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya uchaguzi. Plz mchango wenu utanisaidia kumjibu.

  1. Ni rais gani duniani anayeamini kwamba kukaa madarakani miaka mitano ni kujifunza ili baadaye ukipewa fursa ya miaka mingine tena aweze kuwa mfanisi? Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  2.Rais wa kwanza Duniani kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi ni..... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  3.Ni Rais gani duniani anaye amini kwamba suala la urais ni la kifamilia zaidi na siyo la kitaifa? Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu
  wake unatokana na nini, ni................
  Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
  5. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha
  bora! ni............. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  6. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu) ni.......... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  7. Rais wa kwanza Duniani aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni
  kiherehere chao? ........... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  8. Rais wa kwanza anayeogopa kuwaburuza mahakamani mafisadi ila ana uwezo mkubwa wa kumuwekea fitina mwizi wa mke wa mtu? ......... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  9.Rais wa kwanza duniani aliyetumia 60% ya mabango yote ya biashara nchini
  kwake kujinadi wakati wa kampeni ni.......... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  10. Ni Rais gani Duniani ambaye kwa mtazamo wake anahisi kafanya kazi kubwa nchini kwake kiasi cha kujisikia fahari kubwa kumuandaa mwanaye ili naye siku moja afuate nyayo zake............... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  11. Rais wa kwanza Africa kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake ni........ Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  12. Rais wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini ni............. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete.

  13. Ni rais gani duniani ambaye akiwa madarakani ndani ya miaka mitatu kaoa mabint wawili wenye umri sawa na wanawe, lakini hapendi ifahamike japo dini yake ina mruhusu? Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

  14. Ni rahisi gani Duniani ambaye anaamini katika utawala wa sheria na amesaini sheria ya uchaguzi wa Taifa lake, kwa bahati mbaya amekuwa wa kwanza kuzikiuka? Dr.Jakaya Mrisho Kikwete


  Have a good day!!
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  "We hang the petty thieves and appoint the great ones to public office."
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kumbe bahati mbaya??! kama ni bahati mbaya shida ni nini? Maana bahati mbaya huwa zinawakuta wengi. Lakini nafikiri umesahau la kugomewa nyimbo za taifa katika mechi za kimataifa, wakati yeye akiwa ni mgeni rasmi. Sijalisikia hili limetokea mahali pengine duniani mbele ya Rais wa nchi. Hapa najiuliza hao idara ya usalama wa taifa huko hawahusiki kuhakiki hayo mambo hasa ukizingatia kwamba ni tatizo ambalo lilishatokea huko nyuma?
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Imekaa bomba, big up!!!!
   
 5. S

  Subira Senior Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nonsense
   
 6. I

  Israel 18 Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mkali ndugu yangu huyo jamaa hafai na mungu amlaani na sio siri ana nuksi na mungu hawezi kutubariki kama tuna rais mdhambi na mnafiki kama huyo. haya jamani wakati ndio huu wa kumwaga haramia huyo.
   
 7. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  hiyo safiiiiii sana
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani imetulia kweli hyo utaona wana ccm watakavyoipangua kwa hoja hafifu
   
 9. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kujipoza moyo baada ya frustrations kibaooooo
   
 10. B

  Brandon JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh,kwa hali hii inabidi asipate kura hata moja. nadhani some nuts are missing in his head. what a shame to have a president like this one.....
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Namchukia sana huyu baba! Muongo muongo na usanii! Heri Salma angegombea yeye
   
 12. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145

  What is nonsense in the reality?
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ile # 7, 8 na 13 ni balaaaaaaaaaaaaaaa
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unapenda kupakatwa wewe bila shaka!
   
 15. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kuliko hizo ulizonazo wewe saizi??
   
 16. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kuliko hizo ulizonazo wewe saizi??
   
 17. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ikulu bado haina website
   
 18. Biznocrats

  Biznocrats JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania kwa sasa tumeendelea bwana kwa demokrasia na hasa kipindi hiki cha Kikwete. Enzi za Nyerere huyo mchangiaji mada mkuu angekuwa ama anaozea jela, amekimbia nchi au amepotea!!!!!!!!!!!!!! Kwa wale Senior Citizen wenzangu mnakumbuka wakati ule watanzania walipoamua kumpachika jina Nyerere kama "Mchonga Meno" kuonyesha hasira yao kwa ajili ya kuchukia tabia yake ya kutotaka kusikiliza maoni ya raia alivyojibu? Alisema kwamba mmeniita majina mengi kama vile "Haambiliki" lakini hili jina la "Mchonga Meno" litaondoka na mtu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Lakini kwa sasa usishangae mchangiaji huyo akiomba kwenda Ikulu kuongea na rais basi akapewa nafasi ya kuhudumiwa glasi ya Juice na Kikwete mwenyewe!!!!!!!!!!! Kikwete kama marais wengine kuanzia Nyerere mpaka Kikwete wana mapungufu yao ya msingi yaliyosababisha nchi yetu kuwa masikini kiasi hiki. Msingi wa udhaifu wa marais wa Tanzania ni msingi mbovu wa kiuchumi ulioachwa na Nyerere ( Samahani kwa wale wanaomuabudu Nyerere kwa manufaa yao yoyote yale na wanaodhani watatupangia marais wajao kwa kutumia jina lake) na ukishakuwa na msingi mbovu wa uchumi basi misingi mingine yote ya jamii itaparaganyika. Lakini kuna hatua za msingi za kiuchumi zimepigwa na viongozi wetu tangu wakati ule Nyerere alipoamua kuachia ngazi mbapo Watanzania tulishindwa kabisa kiuchumi hadi tukalazimika kula unga wa msaada wa njano kutoka Marekani tena kwa foleni kwenye maduka machache yaliyopata kibali kutoka National Milling Corporation (ambao ulitengenezwa kule marekani kwa ajili ya Farasi!!!!!!!!!!!!) kutokana na Nyerere kuwabana watanzania kujasiria mali kwenye kilimo na maeneo mengine ya biashara kwa kutaka kuleta siasa za utopia (ujamaa) na wao serikali kushindwa kuhudumia watu wake kwa chakula baada ya kuwabana raia ingawa tuna ardhi kubwa ya kutosha!!!!!!!! Vijana mnatakiwa muelewe tumetoka wapi kwani dunia yenu mnayoijua ni hii ya leo ya face book, linkedin, twitter na skype (enzi zetu ukimiliki kideo unaishia lupango) ni tofauti sana na ile yetu enzi hizo kabla hamjajazwa jazba na watu ambao wanajua tulikotokea lakini kwa manufaa yao wenyewe wanaamua kuwashambulia viongozi wetu bila sababu za msingi kutokana na uhuru wa sasa wa kuongea utakavyo kwa sababu wanajua kwamba kutokana na umri wenu hamjui yale yaliyojiri enzi hizo hivyo wanacheza na akili yenu ya sasa tu kumanipulate mtaji wao wa kisiasa wa baadaye!!!! Sina maana tusiwahoji viongozi wetu pale wanapokwenda mrama lakini tufanye hivyo si kwa kejeli kama watanzania walivyolazimika kufanya hivyo kama nilivyoeleza hapo juu wakati wa udikteta bali tufanye hivyo tukijua kwamba viongozi wetu watatusikiliza kwa mambo ya msingi tunayowahoji (kama ilivyotokea kwenye issue ya posho za wabunge kama zilivyowakilishwa na Zitto kwa jamii) badala ya kupoteza mda wetu kutoa kejeli ambazo hazina kichwa wala miguu na hazitatusaidia kurekebisha mambo mengi ya msingi tunayotaka viongozi wetu wayashughulikie kwa manufaa ya vizazi vyetu vijavyo.
   
Loading...