Mama Anna Tibaijuka - Wizara imeoza hiyo huwezi. Mpe Halima Mdee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Anna Tibaijuka - Wizara imeoza hiyo huwezi. Mpe Halima Mdee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Dec 21, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mimi naona hii wizara ya Ardhi kuna ufisadi sana, hasa katika ngazi ya Halmashauri.

  Kwenye Halmashauri ndo kwenye ardhi

  Mifano michache, juzi juzi tu tulisikia uchakachuaji katika ugawaji viwanja Arumeru eneo la Burka. Watu walilalamika, magazeti yakaandika lakini bado hakuna kilichobadilika. Watu wamechakachua viwanja, vigogo wamechukua viwanja na kuwauzia makaburu wakati watanzania wenyeji wa hapo wamekosa viwanja na hawana makazi.

  Sasa angalia hii nyingine. Ardhi ni ya Watanzania, wanastahili wagawiwe katika ada ndogo tu kwa ajili ya upimaji. Lakini sasa wajanja wachache wameamua kuteka ardhi ya watanzania na kufanya dili la kujipatia fedha.

  Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  Tangazo la Kuuza Viwanja - Katika Mwananchi Paper page 17. Tarehe 20 Dec, 2011.

  Arusha- TENGERU

  Kabale Estates wanauza viwanja, je hawa kabale estate wametoa wapi hiyo ardhi? Nani amewauzia ardhi hao Kabale estates? Na huyo aliyewauzia kabale estate katoa wapi ardhi??

  Kimsingi, hiyo ardhi ni mali ya watanzania wanaoishi maeneo hayo au wanaoishi na hawana makazi.

  Sasa hawa viongozi wa Manispaa na afisa ardhi wanavyouza ardhi, je watanzania masikini wataweza, au mafisadi tu ndo watamiliki ardhi tanzania?

  Hapa kuna harufu ya Rushwa sana...
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hii nchi bana, wawekezaji na vigogo wanapata ardhi lakini wananchi walio wengi wananyang'anywa.
   
 3. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  then wewe utakuwa katibu wake!.mkale vizuri pesa za mradi wa kigamboni,mdee si mtoto wa town plus sheria basi kila kitu kinawezekana mkuu
   
 4. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  unashangaa arusha,kibaha vimeuzwa kwa matajiri
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  well....

  [​IMG]
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kamanda una hoja lakini ulivyoiweka mie nashindwa kufuatilia

  hebu niambie iwapo kabale iliuzwa 2004 aliyenunua akaamua kuuza 2011 mwenye tatizo ni wizara, halmashauri, aliyeuza, aliyenunua au anayekuja kuuziwa sasa hivi??

  Ukiniuliza mimi ntakwambia tatizo nambari wani ni halmashauri zinazogawa vocha za viwanja kihujuma , na kuishia kuja kulangua (kutoka 10,000 kufikia hata milioni mbili/tatu) huo ni wizi, pili ntasema wanaonunua wanachukua over 3 years kujenga which is again kosa... tatu ntasema kazi ya wizara/halmashauri sio kuuza viwanja... ni kusimami sera a matumizi mazuri ya ardhi kwahiyo mimi nadhani wangesimamia upangaji na matumizi ya ardhi

  once waliweza hilo, land management itabadilika, developers watafanya kazi/biashara, na serikali itasimamia... mifano michache ni pale ambapo kila develoopers walipouza ardhi au nyumba miradi ilikwenda fasta (or at least at a reasonale pace and business sense) lakini kila serikali ilipoingilia kati, hali ilibadilika

  ushauri wangu kwako... ili tujenge msingi mzuri wa ardhi na kuweza kupambana na ufisadi ardhi, basi tujue kwanza sheria zinazozunguka matumizi ya ardhi

  inatisha sasa hivi sayeyaz na planners wanajifanya kama ardhi zote ni zao

  Tujenge, tofali kwa tofali...
   
Loading...