Watanzania tunaomba muelewe, Dr Willbrord Slaa Nikatibu mkuu wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tunaomba muelewe, Dr Willbrord Slaa Nikatibu mkuu wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Dec 28, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Wapenzi wote wa CHADEMA muelewe kwamba DR Willbrord Slaa Nikatibu mkuu wa CHADEMA. kwa sasa ila ikitangazwa kuwa yeye ndiye mgombea wa urais wa 2015 hiyo itakuwa wazi kwakila mtu kwani uongozi wa CHADEMA unafanya mambo yao kwa uwazi,ila kwa sasa Mh,Dr W.Slaa ni katibu mkuu wa CHADEMA ila kwa wale mnaotaka kuvuruga amani ndani ya chama ndiyo maana mmeanza kuwapandikiza viongozi wetu vyeo hewa!!hatutaki unafiki natuheshimu katiba ya chama ila tunamkubali, Dr Willbrord Slaa Nikatibu mkuu wa CHADEMA.
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mkuu kuna nini hadi ukaja mkali hivi? Kuna gogoro linafukuta na huko kwenu? Ya CUF na NCCR-M tumeshayazoea.
   
 3. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mkuu naomba hizi ziwe salam za mwaka mpya kwa timu inayomsafisha Lowasa hapa kwenye JF
   
Loading...