Huwa Rais anafikiria nini katika uteuzi wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huwa Rais anafikiria nini katika uteuzi wake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tongue blister, Nov 24, 2009.

 1. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Nimejaribu kujiuliza lihi swali kila wakati bila kupata majibu yaliyo sahihi , Huwa najiuliza Rais wetu aliwaza nini au huwa anawaza nini pale ambapo huwa teuwa wana jeshi wastaafu kuwa wa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ? [/FONT]

  [FONT=&quot]Labda kwa ufahamu wangu mdogo mnaweza kunisaidia katika kupata majibu yaliyo sahihi.Tukizingatia pia kwamba wapo pia Vijana wengi wasomi wenye kuijua siasa na wenye uwezo wa kuongoza nchi ndani ya Tanzania wanaishio bila ajira .[/FONT]

  [FONT=&quot]Je ni yapi basi mafanikio ambayo tumeyaona yameletwa na viongozi hao shupavu kutoka majeshini ? Na je kuna ukaribu gani ktk ya waheshimiwa hao na wananchi wa kawaida wa kule Geita ama wa Kule Newala mkoani Mtwara ?[/FONT]

  [FONT=&quot]Nimejaribu kutazama baadhi ya posts ambazo zimekuwa zikizungumzia maeneo mbali mbali yenye matatizo ya kimaendeleo nikagundua kwamba ukiyafuatilia kwa ukaribu maeneo hayo utaambiwa mbunge wao ni mwana jeshi au mkuu wa wilaya pale ni mwana jeshi au hata Mkuu wa mkoa.[/FONT]

  [FONT=&quot]Swali langu ni Je …Rais huwa ana jaribu kufikiri nini katika kuwa Teuwa wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wana jeshi ?[/FONT]
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Swala hili halijaanza na JK hii ni toka miaka ya Mwalimu!! Kuna ishu nilisikia (ila sina uhakika) kua hii ni njia moja inayosaidia wapiganaji wetu wasije wakaanzisha Vikundi vya Rebels kama nchi Jirani!!
   
 3. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Moja hiyo mkuu...!! Chukua five !!! Nasubiri majibu mengine ! Kisha tunakuja kufanya summary..!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mbili ni kwamba Kwa system ya jeshini, watu hustaafu sometimes na umri mdogo sana, yaani hata kabla ya kufikisha 55 au60 yrs, hivyo kuwaacha benchi hivihivi itawasababishia msongo wa mawazo.

  Lakini pia ni kwamba proffession ya uaskari haina kuajiriwa pengine nje ya majeshi, labda mgambo!
   
 5. Companero

  Companero Platinum Member

  #5
  Nov 24, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jibu lingine: Kwa kuwa na yeye ni Kanali/Mjeshi 'Mstaafu'!
   
 6. amanindoyella

  amanindoyella Senior Member

  #6
  Nov 24, 2009
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huenda kuna ukweli ndani yake lakini pia JK alikuwa kamanda na kama ilivyo ada ya Tanzania kulindana! inambidi afanye hivyo ili kesho Jk ilikifika nao watamlinda kwa kutoa fadhira.
  Nafikiri uteuzi kama huu wakati mwingine huenda ukaweka watendaji wasioweza kuwajibika kwa jamii.
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 4,000
  Trophy Points: 280
  Wetu huyu wa sasa nathani ni utashi wake wa kutaka mambumbu haswa kwa uchaguzi wake wa Wanawake hakuwakomboa bali kuwakomoa kwa kuchukua incompetent leaders kama wakina Sofia Simba, Shamsha Mwanguna na Aisha Kigoda (akijiita Dr wakatu ni nurse)! ukiacha hawa, hao wengine sijaskia hata m1 aliyefanya la maana! This is too discouraging hivi wakina Tibaijuka wako wangapi humu Tanzania zaidi ya kutuletea hawa ma-bogus?
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  I wish u had cofirmation maana linafana sana na ukweli!! nadhani ni bora wangetafutiwa ulaji mwingine kuliko huu maana sasa wanatupa shida sisi wananchi wanaotuongoza kwa kuboronga wanapogaiwa hizo nyadhifa muhimu za kuongoza mikoa na wilaya.
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Wale madada maDC duh....yule wa mvomero aliniacha hoi last week akifuatialia mafuriko na majangili misistu....wako wengi halafu....
   
 10. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaaa!!! Hii mzee tutai discus baadae kidogo !! Anawagawia uongozi vijana wake wa walio kuwa wanamwibia top layer ya msosi jeshini..!!
   
 11. O

  Omumura JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sometimes kuwaweka wanajeshi pembezoni mwa mikoa iliyo mpakani ilikuwa ni kuimarisha zaidi usalama, wapo walioweza lakini wengine waliboronga na kuliletea jesi letu sifa mbaya!
   
 12. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilihisi lazima mtu mwenye upeo wa kufuatilia mambo kama wewe ,angeliona hilo kama ulivyoliona.
  Kawa Rais ana hisi kwamba nchi inaweza kuletewa matata kiusalama basi angejaribu kutafuta njia mbadala kwa kuwatawanya wanajeshi kwa kuwapa shughuli zingine za kimaendeleo, kuliko kuwapatia nyadhifa hizo muhimu ambazo si tu kwamba wanaboronga bali wana haribu kabisa..!
   
 13. Companero

  Companero Platinum Member

  #13
  Nov 24, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu wameharibu wapi? Kwenye A Golden Opportunity?
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  jishughulishe kidogo tu wa huhitaji kuchosha akili, anagalia mikoa/wilay azinazoongozwa na hao wageshi wastaafu afu ufanye tathmini...
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Uteuzi wa wanajeshi kama ni ishara tosha kwamba hata wanajeshi nao wanajihusisha kwa namna moja au nyingine kwenye siasa
   
 16. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mimi ninavoona labda wanajeshi wao ni watu wa kufata AMRI tu na si vinginevyo. Yeye Mh kama mkuu akitoa amri wao wanatekeleza.

  Tukumbuke kuwa wanajeshi wana nidhamu ya hali ya juu sana katika kutekeleza maagizo na kufata Time hakuna lele mama.

  Yote hao ni kichocheo cha wao kuchaguliwa.
   
 17. k

  kisikichampingo Senior Member

  #17
  Nov 24, 2009
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Vyovyote vile, kwani tatizo ni nini? Hawa-perform au?
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  anza na kanal my uncle wangu mathaweeee
   
 19. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuna yule Mjeda mwingine wa Bukoba kule Aliyewachapa Walimu Bakora....baadae akatimuliwa na JK.....Asee hawa wajeda noma!!
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mbona hizo sifa mnazotaja hazitoshi na hazina vigezo vya huyu mheshimiwa kuwapa huo uongozi
   
Loading...