Mchezo Wa Mafisadi Huu Hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchezo Wa Mafisadi Huu Hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Feb 15, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mnaweza kukumbuka kwamba Mzee Yusuf Ma-Ropes alitamba kwamba lazima kijana wake apewe uwaziri, basi Mkuu wa kaya baada ya kupata hizi taarifa na pia kutokana na shinikizo kutoka kwa wengi ambao walikuwa wakiitakia nchi mema, ndoto za mzee ma-ropes ziligonga mwamba. Mzee huyu machachari kwa kuropoka matokeo yake akaanza kampeni za kichichini akishirikiana na mafisadi fulani AL na RA kuhakikisha kwamba serikali ijayo, mwanae anagombea urais. Akishindwa kwenye maoni, Deal itafungwa ili apewe uwaziri mkuu.

  Hii nadhani itawapa jibu kamili ni kwa nini kijana February Ma-Ropes amekuwa akitafuta umaarufu kwa kasi. Licha ya yote, Mzee Yusuf Ma-Ropes kutumia vyombo vya chama tawala, alihakikisha Vodacom Foundation (dada yake kwa kuomba rushwa), Wahindi, RA na LA wanatoa hela za kutosha kuwanunua wapinzani ili mwanae apite bila kupingwa. Na kweli mwanae wa Bumbuli hakuwa na mpinzani. Wapinzani wake walipewa millioni 200 kila mmoja. Hizi kelele za sasa za February Yusuf Ma-Ropes ni kujaribu kuwasafishia mafisadi njia zaidi ya ulaji. He is just a mouth piece.

  Mbaya zaidi ni kwamba, huyu kijana ameajiri vijana kama 5 wanaotumia mtandao kumsifia. Humu kwenye Jamii forums, wapo wengi kweli ambao anatuma mada, matokeo yake wanaanza kumsifia. Nadhani itakuwa vyema huyu kijana akawa mwangalifu, kwa maana hao vijana wameanza kuvuja siri zake nyingi tu.

  Anasahau kwamba alikosa uwaziri kutokana na kuwatukana wahisani... Familia ya Rockeffeller?
  Anasahau kwamba aliiba mtihani?
  Anasahau kwamba alifanya ufisadi Ikulu?
  Anasahau rushwa alizopokea toka kwa Wahindi?
  Anasahau kwamba hata Usalama wa Taifa ulimhoji sana kutokana na Kashfa kubwa aliyofanya Ikulu?

  Kijana February Maropes. Jipime unaelekea pabaya hasa unapotumiwa na mafisadi. Unawatumia watu kama Innocent Bash kwa manufaa yako, huu ni uonevu......... article yake kwenye the Economist ilikuwa ni kazi ya Innocent Bash. February, anahonga fedha nyingi sana kwenye media ili tu asikike na kuonekana mchapa kazi.
   
 2. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ufisadi upi mkuu?
  Halafu hawa usalama wataifa mbona ni wale wale mkuu...kagoda, Epa etc
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hata siku moja mnyama Kenge hawezi akazaa Mamba; like February like Ma-Ropes tu!!
   
 4. Ontuzu

  Ontuzu Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Kwa vyovyote vile wananchi wanatakiwa kuwa makini, chama tawala kimeanza kuandaa watu wake wa 2015. Kibaya zaidi hakuna aliye msafi kati yao kila anayejitahidi kujitangaza kupitia media watu tayari wana files zake nyingi tu....Umakini ni muhimu kuelekea 2015, vinginevyo kilichobaki ni Ikulu kubinafsishwa, nchi kalaghabaho hii!
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa kwa sababu wameamua kuja kwa kasi na kuwafanya watanzania wajinga sasa ni wakati wa kumwaga mambo hadaharani. Huyu bwana mdogo anajifanya ni msafi kwa lipi? Huo uenyekiti amehonga wajumbe zaidi ya shilingi milioni 18 kuupata huo uenyekiti. Kwa ujumla kambi ya RA na EL wametumia milioni 50 kuupata uenyekiti katika kamati mbalimbali. Halafu ana-sponsor habari kwamba eti amekataa lunch ya milioni moja! Huu ni upuuzi kwani wanaomjua January, kama baba yake na wakuu wake wa ufisadi, fedha kwake ni muhimu kuliko Mungu. Hawa wanaojiita vijana ni hatari sana kwa mustakabali wa Taifa hili na sasa tunaanza kujionea kilichowaingiza kwenye siasa.

  Huyu bwana na baba yake wamekuwa wakihangaika ili apate uwaziri lakini Mungu analipenda taifa hili na ameepusha balaa zaidi. Kwa umbumbumbu wao wameanza kutoa matamko yenye kukanganya na kuharibu mahusiano ya kimataifa kwa kudhani kwamba wao ni wabadala wa mawaziri. Eti huyo mwingine anamzungumzia Mubaraka na hatari ya viongozi kulazimisha kukaa madarakani na kutojali maslahi ya wananchi! Shame on him! yeye ana moral authority gani ya kuzungumzia hilo na huku anahonga CC, NEC na wajumbe wa mkutano mkuu ili aongoze nchi hii. Huyu ni mbaya kuliko hata huyo Mubarak! hatuwataki na lazima wajue kwamba watanzania wanawaona wao kama janga la taifa na Mungu atatunusuru tu!
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  pls can u provide more details rather than prompting some speculation on his allegations of UFISADI,corruptions and the like?
  hapa hatuyajui hayo kama ukitueleza tutakuwa katika wakati mzuri wa kutete hoja yako.
   
 7. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Maumivu ya kichwa huanza polepole:roll:
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  mwisho wao ni 2015
   
Loading...