Muulizeni Dr slaa aliambiwa vipi na Maalim Seif kuhusu Hamadi R ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muulizeni Dr slaa aliambiwa vipi na Maalim Seif kuhusu Hamadi R ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Dec 28, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [​IMG]Nazani hivi sasa Dr Slaa anakumbuka maneno ya Maalim Seif kuwa jihazarini sana na Hamadi huyo , Maalim alimshutukizia Mwanzo Hamadi kuwa ana agenda nyigi za ccm ili kuvuruga upinzani.
  Kwanza Hamadi ameshainya mara nyingi kutokana na kuwa na maamuzi yake mwenyewe binafsi ya kichama bila kuweza kuwambia vingozi wakuu wa cuf hili hulifanya mara nyingi kwa kushtukiziwa tu.

  Na jengine aliloonywa mara nyingi nikukumbatia viongozi wa chama tawala sana na akiulizwa husema asingiliwe katika maisha yake kwa kuchaguliwa rafiki nay eye mwenyewe husema ni best friend zake.

  Viongozi wa cuf walipewa alart kumchungua na kwa uhakika kanasa hili linatumika sana Zanzibar hata Maalim Seif alitegwa mitego mingi lakini kavuka kwanza ni pale walipokuwa akionana na ccm/smz viongozi wake wa ngazi za juu basi huwa uongazi wa Cuf unajuwa na inakuwa yuko safe.

  Lakini hamadi yeye na Pinda na Kikwete ni pete na Chanda na wote hao hutembena hata katika majumba yao na vikao vyao vya siri, ndio kuna agenda nyengine Hamadi hua hajulikani anazitowa wapi.

  In short alikuwa anatumiliwa kuvuruga upinzani na sio cuf tu yani upinzani wote inawezekana hato alomtegea kinasa sauti Dr Slaa chumbani kwake alikuwa yeye mana alikuwa tayari anajipendekeza sana kwa Dr Slaa.

  Na kama Dr Slaa hakustuliwa na Maalim Seif angeumbuka maana alijenga matumaini kuwa Hamadi Rashid ni mbinzani mwenzake katika Bunge zidi ya ccm ,lakini ammuana alivyokuwa kinyonga bada ya kukosa kuwa Kiongozi katika kambi ya upinzani alivyo geuka.

  Hamadi chuki kubwa zidi ya Maalim Seif nikuwa Maalim anayajuwa mabaya yake mingi na ndio ukaona hajapewa cheo chochote katika Serekali ya Umoja wa kitaifa kashwa amalize uwakilichi wake awe nje bila kujifahamu.

  Lakini kashtuka mapema mitego alio tegeshewa sasa ndio ana ji suiced mwenyewe kwenye vyombo vya habari Cuf kimya, ikiwa yeye alitaka kupelekewa barua kuitwa ajieleze na atowe dukuduku lake ili watu wafahamu jee yuko right au wrong .

  Lakini kashindwa kutaka kujieleza na kanza kukimbilia vile vile vyombo vya habari huku akikimbia vikao vya chama chake sasa tuone vyombo vya habari vitamsaidia vipi? Ikiwa uongozi wa cuf utasema enough is enough tuangalie tuone.

  Lengo la hamadi nikugonganicha vichwa na kuigawa cuf Zanzibar na cuf Bara nah ii ndio agenda no 1 ya ccm aliopewa, kwa Zanzibar kaula na chuwa lakini kwa Bara anaweza kufanikiwa pindipo akipata wapambe.

  Wazanzibar wakichaamua hawajali Hamadi wala Seif pindipo yoyote akisaliti na akisibitika basi azabu ni kuasiwa na kutengwa hii ni fatwa ya Wazanzibar kumbuka Maalim alivyo paparika kwa kusema kuwa uongozi wa cuf umemtambua Amani kuwa Rais, kama hakusema uongozi wa cuf na watu kufuatilia kuwa ni uongozi au yeye basi hivi sasa angekuwa mtu wa kawaida tu na Zanzibar kungemshinda kukaa.
  Related Posts

  [​IMG]
  Hamad Rashid ana vipimo vyote vya unafik hivi sasa dalili ziko wazi kwa vile tayari kachajijuwa ni mtu wa kufa(Kufukuzwa).


  Hamad Rashid agoma kuhojiwa


  HAMAD
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwanini leo na siku zilizopita?
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  chadema msikikaribishe hiki kirusi cha kiccm.
   
 4. damper

  damper JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  mh!! utakuwa mzee wa jambia au vibomu vya mafuta ya taa kwani swahili yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mzee/Bibi/mama/baba/msichana/kijana/msela/mdada
  • Kwa niamba ya wadau nakuomba ufanye editing ya post yako ili ueleweke maana umeandika kiswahili siyo kabisa kuna makosa mengi yanayovuruga mtiririko wa stori.
   
 6. b

  bedeningo Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha maneno mbofumbofu, hamad rashid ni mpiganaji ila tu maalim seif anayeshinda na shein ikulu ya zanzibar wakinywa kahawa ndiye mwenye agenda za ccm
   
 7. FuturePresident

  FuturePresident JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yakhe!!! Weye watokea pande zipi? kizimkazi, kibanda maiti, chake chake,wete ,makunduchi au????? te he te he te he..Na hapa waandika huku povu likikutoka ndomoni!!!!! ha ha ha ha ha una haraka weye mpaka wakosea manenooo....ha ha ha

  Kazi kweli kweli
   
 8. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Tukimuuliza ndio Atupe ushahidi kwako au?

  Who Care!
   
 9. h

  hamidshaban JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kiswahili jamani!
  J
   
 10. R CHUGGA

  R CHUGGA Senior Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  aaaaaaah!mbona mm nilishamshtukia toka akiwa anajifanya anapigania kambi rasmi ya upinzani bungeni!!ni m2 anayependa madaraka sana na muda si mrefu atayaona yaliyompata kafulila,
  HAMAD acha kujitetea kwenye vyombo vya habari,nenda kwenye vikao vya chama na ukajibu hoja wanazozitoa wenzako acha uoga!!
   
 11. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeongea ya maana ila hiki kiswahili chako ni balaa, ukipeleka kwenye baraza la kiswahili kwenda kuhakiki unafungiwa kuandika na kuongea pia kiswahili
   
 12. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  anza mwenyewe kurekebisha hilo neno niamba uliloandika.
   
 13. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,164
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Kakke,
  Nani sasa wa kumwamini ??? Na wewe upo upande gani ??? Maana nimeelewa kwa kutuambia Maalim hakumwamini Hamad toka mwanzo, mbona mlikuwa nae pamoja na kumkaribisha CUF ??? Au kwa sababu Hamad anakunywa kahawa na Wanamagamba same time alikuwa Kiongozi kambi ya upinzani ???
  Hakuna mtu asiyejua Hamad ana uchu na Madaraka na ni kigeugeu, yeye ili mradi kinywa kiende kinywani, alitaka kuungana na Chadema wakamshitukia sasa baada kukosa kote na kujua anakaribia kutoswa ndio haya mambo yanatokea sasa.
  Kikubwa mbona pande zote hizi mbili, ya Hamad na Maalim haya mambo yoote yanayotokea na wanataka kuvuana nguo means tuwekeana maovu hadharani wamesubiri mpaka dakika ya mwisho ???
  MY TAKE: Ni wakati mwafaka, watanzania kuwa makini na watu kama hawa, wanatanguliza matumbo yao baada kutatua matatizo na utaifa mbele, hatutaki watu vigeugeu, Someni wakati wa nyakati, watanzania wa leo sio wa wakati ule wa Uhuru
  Nawakilisha
   
 14. K

  KINGURI New Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi cuf hili jambo la hamad rashid lazima mlichukulie kwa upeo mkubwa nina uhakika mnamjua hamad rashid kuliko nimjuavyo mimi naona hamad rashid ni mtu makini sana kama kama kweli anatumika viongozi wa cuf msipokuwa makini mtakivuruga chama japo hamad ni makini lakini maalim seif jussa pro ni makini zaid kwahiyo kuweni makini na mtu huyu kila la kheri chama cha cuf najua mmekomaa kisiasa imarishini upinzani
   
 15. k

  kicha JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 509
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 180
  pamoja na mambo mengine, upeo wangu unahisi kama chanzo cha hamad kama kutoswa kwenye smz hivi, kwa nini asingeanzia kwenye chama chao na kuanzia kwenye vyombo vya habari, hapa tatiizo ni madaraka tu hakuna jengine
   
Loading...