Kafulila kuendelea na ubunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kafulila kuendelea na ubunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakalende, Dec 27, 2011.

 1. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Ni amri ya Mahakama. Habari ndio hiyo!

  SOURCE: http://twitter.com/#!/zittokabwe

  ===================

  Zitto Kabwe


  Kafulila kuendelea na Ubunge..... Mahakama Kuu imetoa amri muda mfupi uliopita.

  Ataendelea kuwa Mbunge mpaka hapo kesi ya msingi itakapokwisha. Mungu yupo pamoja na wanyonge siku zote.


  Kutoka Gazeti la Mwananchi:

  KAFULILA aichanganta NCCR-Mageuzi

   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  toa habari kamili mkuu!
   
 3. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ataendelea kuwa Mbunge mpaka hapo kesi ya msingi itakapokwisha.
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  source please kaka
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Source nimeweka hapo juu.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Habari za kijiweni!
  Kama ni gazeti basi habari imeandikwa "Na Mwandishi wetu"
   
 7. K

  KIROJO Senior Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  source plse
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Sasa hii haraka ya kupost habari haifiki hata robo unawahi wapi? unashindwa nini kutoa habari iliyojitosheleza?
   
 9. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Habari hii ni kweli.
   
 10. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hii ni amri ya muda pengine shauri la Kafulia likisubiriwa kutolewa uamuzi ,au mahakama imebatilisha kikao cha NCCR kilichomvua David ubunge? Hili zoezi lime-backfire. Badala ya kumjenga Mbatia, hata kale ka base kadogo alikokuwa nako NCCR kameondoka.
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama ni habari ya kweli mbona hamtoi maelezo yanayojitosheleza? kuna ugumu gani wa ku summarize walau kwa paragraph mbili ama tatu, kama si moja basi!!
   
 12. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  mahakama imeamuru aendelee na Ubunge mpaka kesi ya msingi (kuondolewa uanachama bila kufuata taratibu) itakapokwisha
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Zitto Zuberi Kabwe@


  @AnnieTANZANIA mahakama imeamuru aendelee na Ubunge mpaka kesi ya msingi (kuondolewa uanachama bila kufuata taratibu) itakapokwisha

  4 minutes ago
   
 14. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  [h=6]Zitto Kabwe
  [/h][h=6]Kafulila kuendelea na Ubunge..... Mahakama Kuu imetoa amri muda mfupi uliopita.

  Ataendelea kuwa Mbunge mpaka hapo kesi ya msingi itakapokwisha. Mungu yupo pamoja na wanyonge siku zote.[/h]
   
 15. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Ulimpenda Kafulila lakini NCCR walimpenda zaidi.
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  NCCR bado hawajaiandikia barua Bunge, wakiandikia bunge barua kuhusu suala hilo basi hana ubunge
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  High Court injunction
   
 18. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Na hii ya kwenda mahakamani ndiyo hatua stahiki na sahihi badala ya ile ya kumlamba miguu Mbatia. Kila la heri David, justice'll prevail.
   
 19. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyu Zitto bado anaaminika na watanzania kweli?
   
 20. L

  LAT JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huu uamuzi wa mahakama haujakaa vizuri

  mimi nilifikiri mahakama ingeamuru kafulila aendelee kuwa mwanachama wa nccr mpaka kesi ya msingi ya kuvuliwa uanachama bila kufuata utaratibu itakapomalizika, kwanini mahakama ime rush kwenye ku withold ubunge?
   
Loading...