RC Singida azuia mdahalo kujadili ushiriki wa wananchi katika katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RC Singida azuia mdahalo kujadili ushiriki wa wananchi katika katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Isango, Dec 28, 2011.

 1. I

  Isango R I P

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 295
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu wa Mkoa wa Singida anaendelea kujichafua. Amezuia mdahalo uliokuwa umeandaliwa na Taasisi zisizo za Kiserikali (Singida Non-Govermental organisation Network) - SINGONET kwa kile alichodai kuwa mpaka awepo ndipo midahalo hiyo ifanyike. Hatujajua kasoro zipo wapi watu kujadili akiwa hayupo yeye, na hatujajua kwanini Asasi hizo zinaingiliwa hata mikutano ya ndani kujadili katiba. Kuna Uhusiano gani na uwepo wa Mkuu wa Mkoa katika midahalo........... Maumivu. Hawa ndio watakaosababisha vita katika nchi kwa kujidai kuwa wanaweza kuzuia watu kujadili kw uhuru huku wakilazimisha mawazo yao tu ndio yaheshimiwe.
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  CCM at work
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mitanzania hasa inayotawala watu ndivyo ilivyo....
   
 4. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Magamba kama kawaida yao
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Katumwa na bosi wake
   
 6. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Baba Liz?
   
 7. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi Ibara ya 18 ya Katiba ya JMT, 1977 imeshafutwa wandugu?
   
 8. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na waliozuiliwa wamekaa tu kimya?why not take actions ikiwa mamlaka aliyonayo Rc haiendi mbali kiasi ya kuzuia mijadala ya namna hiyo?
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuna tabia inaanza kuota ya hawa wakuu wa mikoa kujidai ndio wenye sauti ya mwisho (ndani ya mikoa yao) kuhusu mjadala wa katiba! Sina hakika nani amewaagiza lakini it is only a matter of time hili bomu wanalotega litalipuka. Tanzania sio North Korea, kuendelea kuzuia wananchi wasijadili katiba kwa namna yoyote ile ni kuchokoza wananchi waliochoshwa na katiba mbovu inayolinda mafisadi. Wanaogopa nini kama wananchi wakikaa chini na kujadili? Kwa kuwazuia kujadili je, unakuwa umekwangua akili zao (wananchi)? Wakati mwingine serikali inajijengea uadui kwa kujigeuza kichwa cha mwendawazimu. Aibu!
   
 10. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Inaelekea hawa Viongozi wa Serikal wana maelekezo maalum ya kuzuia midahalo/mijadala inayohusiana na ushiriki wa Wananchi kuelekea utoaji maoni kuhusu Katiba mpya.

  ...Hatutofika tuendako!
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Haya ndio masalia ya Lowassa wala msimuhusishe mkweree na huyu!!
   
 12. k

  kajunju JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  RC's days are numbered.
   
 13. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Na mimi nataka kujadili na mke wangu katiba ya nyumba yetu, afanye chap basi huyo RC aje ili kikao kianze hapa.


  Siku zao hao mapandikizi ya kikoloni (RCs) zinahesabika now
   
Loading...