Sintofahamu adhabu ya kafulila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sintofahamu adhabu ya kafulila

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpui Lyazumbi, Dec 28, 2011.

 1. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Natazama TBC1 hapa, kubwa kuhusu Mh. Kafulila na wenzake ni tafsri ya kisheria kuhusu kuvuliwa uanachama. Dkt. Mvungi anasema NCCR haina pingamizi juu ya amri ya mahakama kuu. Anasema baadhi vyombo vya habari vinachakachua amri ya mahakama. Hata hivyo chama kimeshamvua uanachama na mpaka kiandike barua kwa spika. Kuvulia uanachama haikuwa automatic process ya ku loose ubunge...
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mvungi ni Kiongozi wa NCCR kupitia CCM
   
 3. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ndo naipata kupitia kwako
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  kafulila ni muwakilishi bomu, anafaa kuwa mkulima wa korosho.
   
Loading...