Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Utafiti nilioufanya umebaini hilo. Naombeni na maoni yenu!
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Wahadhiri wengi wa LAW SCHOOL OF TANZANIA wako pia kwenye taasisi za kiraia zinazoshungulika na haki za binadamu. aidha wamekuwa mstari wa mbele kulaumu utendaji wa serikali na taasisi zake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hizi posho zitawatoa macho.......ivi kumbe ukiwa kiongozi wa CCM wewe na posho ni pete na kidole? MKURUGENZI wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Lewis Kalinjuna amepigana hadharani na Diwani wa Kata ya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna tetesi kuwa Mh. Makamba amekuwa anampigia kampeni mwanae (January) za chinichini katika jimbo linaloshikiliwa na Mh. Shelukindo (Bumbuli). Japo Shelukindo bado ana nia ya kuendelea kubakia...
0 Reactions
98 Replies
12K Views
ikiwa tetesi zinazoendelea za cuf kumvua gamba mbunge wake wa jimbo la wawi zitakuwa kweli, bila shaka CDM kitakua na nafasi adhimu kujijenga visiwani iwapo watamshawishi mbunge huyo kujiunga...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Members of the House of Representatives have had their allowances and salaries raised to 4.3m/- effective from October, this year, it has been learnt. Before allowance increment that started...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Israel's 'most decorated soldier' tries to destroy our alliances in Africa Carl in Jerusalem /http://israelmatzav.blogspot.com/2011/12/israels-most-decorated-soldier-tries-to_26.html...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Waislamu wasitisha maandamano Friday, 23 December 2011 Abdallah Mdangwe na Danieli Rutoryo JUMUIYA ya Wahadhiri wa Kiislamu imesitisha maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwaka ushapita sasa tunaomba wana Temeke na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya huyu ABBAS ZUBERI MTEMVU Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana Temeke Je ana elimu gani...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Tanzania | Published On: Thu, Dec 29th, 2011 The State Minister in the second Vice President, Mr Mohamed Aboud Mohamed Members of the House of Representatives have had their allowances and...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Likizo hii nimetembelea mji wa Kahama nilichogundua wananchi wa eneo hili wanahali ngumu sana kiuchumi licha ya kuwa na madini mengi chini ya ardhi yao madini yao yanakwepuliwa tu na wageni kutoka...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Multimedia - DW-WORLD.DE Amina Abubakar anazungumza na Mkuu wa Idara ya Nidhamu na Maadili ya CUF, Abdul Kambaya, juu ya kilichotokea na kitakachotokea hapo baadaye katika sakata la Mbunge...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Bado siamini kama Afrika hasa tz tutakuja pata viongozi wazalendo,hii ni kwa sababu wote wanapopewa ridhaa husahau raia na kuweka maslahi yao mbele,wanapenda sn sifa,utajiri,nk.nashuri kuwe na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Episodes za Mengi vs Rostam zimetufanye tusahau kabisa mambo haya...maana naona since 2005 tumekuwa bize sana na mambo ya Ufisai huku kimya kimya taiflinageuka kuwa kama lile lililotajwa na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwaka ushapita sasa tunaomba wana Ilala na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya Mbunge MUSSAN AZZAN ZUNGU Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana Ilala Je ana elimu gani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
BAADA ya Chama cha NCCR-Mageuzi kumfukuza uanachama mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila sasa kinasuasua kulijulisha Bunge kwa barua kuwa mbunge huyo kijana siyo mwanachama wa chama hicho...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wasalaam wana bod i wenzangu .Jimbo la Iramba mashareiki ni mojawapo ya majimbo yaliyoko mkoani Singida.Jimbo hili linaongoza kwa kuwa na huduma mbovu za kijamii na kiuchumi ktk mkoa wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Written by Elbattawi // 21/12/2011 // Habari // No comments BAADA ya Chama cha NCCR-Mageuzi kumtimua uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini, David kafulila, kutokana na shutuma alizotoa dhidi...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Kwa matukio machache yanatoa ishara mbaya kwa ustawi wa upinzani nchini 1. NCCR Mageuzi-sakata la kumfukuza uanachama kafulila. Hii ni sawa una jicho moja halafu unalitia mchanga. NCCR imekaa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama ulidhani ufisadi umekwisha ktk sekta ya maliasili na utalii, fikiria upya. Haijulikani hili lilipangwa bila kujua au la, lakini ukiliangalia kwa jicho la tatu utagundua kuwa 'dili' za ufisadi...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…