Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

...khery ya mwaka mpya wandugu wote wa JF pamoja na wageni wanaotembelea humu.Ni muda sasa ndani ya Chama cha mapinduzi(CCM) kumekuwa na harakati na kupigana vikumbo ktk kujiweka sawa kunyakua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunaomba mtujibu maswali yatakayouliza hapa na wanajamvi. Maswali. 1. Pamoja na baadhi ya wanahabari kuwa na mapungufu,je hii tabia ya wanahabari huru kukamatwa kwa uchochezi ni jambo la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
na Mwandishi wetu - Tanzania Daima UTENDAJI wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete umeelezwa kuwa uliyumba kwa kiasi kikubwa katika mwaka 2011 huku matukio ya ufisadi, wizi wa mali ya umma na tabia...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mhe.Deo Filikunjombe MBUNGE WA CCM FILIKUNJOMBE ALA KRISMASI GEREZANI Ludewa wana jengo zuri la mahakala lisilo na hakimu MBUNGE wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe ametembelea wafungwa wa...
2 Reactions
80 Replies
8K Views
Nijuavyo mimi kwa akili yangu binafsi kazi kubwa ya bunge ni kuisimamia serikali,lakini kwa nchi yetu bunge limekuwa ni kijiwe kama vilivyo vijiwe vingine vya kupiga soga na kuziacha palepale bila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliyekuwa katibu mkuu ,James ndalivoi Amejiuzulu uanachama wa nccr mageuzi na kujiunga chadema ,kupinga kuvuliwa uanachama mbunge wa kigoma kus,David Kafulila,amesema yeye pamoja na jopo la...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Salma Maoulidi unpacks Nyerere's legacy in the realm of racial and religious tolerance. "As Nyerere became more exposed to politics and other races," she observes, "he attained the sophistication...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Imekuwa ni desturi yetu na ndo tumezoeshwa na wabunge wa chama cha magamba,ili wakubalike kwa wananchi lazima watoe vijipesa.sitaki kuamini pesa ni kigezo kwa kiongozi kukubalika ndani ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Published On: Fri, Dec 30th, 2011 Tanzania | Published On: Fri, Dec 30th, 2011 Zanzibar's first Vice-President Maalim Seif Sharif Hamad Concerns have been raised over the move byZanzibar...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
VIGOGO HAWAAMINIANI, KAMBI ZAPIGANA VIKUMBO KUJIIMARISHA Mwandishi Wetu WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikihaha kutibu makovu yanayotokana na harakati za kuwania urais wa 2015, imethibitika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF, Kuna tetesi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Bw. Philemon Luhanjo alifikisha umri wa kustaafu tangu mwishoni mwa awamu ya kwanza (2005-2010) ya urais wa JK. Kama hivyo...
0 Reactions
99 Replies
17K Views
  • Closed
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Bw. Ombeni Sefue ndiye atakayerithi mikoba ya Katibu Mkuu Kiongozi aliyejikuta kwenye malumbano na wabunge mwaka huu pamoja...
9 Reactions
50 Replies
12K Views
Habari zenu wana safu,hongereni kwa kuendelea kutafuta njia ya kulikomboa taifa la tanzania........mimi ni mwanasafu mpya,nawaombeni mnikaribishe na mnipokee..........nimekuwa nikisoma maoni ya...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Waraka wa Bubu-0002 Miaka 50 ya Uhuru--------Siungi Mkono Hoja UTANGULIZI Mwaka 2011 tumeshuhudia sherehe nyingi za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mhestahiki meya Jerry Slaa, Kwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kukupa pole kwa mtihani wa mafuriko na pia natoa pole kwa wote waathirika wa mafuriko. Pili, naomba tafadhali pitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Govt T-bond fetches a measly Sh1bn Thursday, 29 December 2011 23:01 By Sylivester Ernest, The Citizen Reporter Dar es Salaam. The central...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
kuna tetesi za kuchaguliwa kwa Hamadi Rashidi kuwa katibu mkuu kiongozi wa serikali ya Tanzania kushika nafasi itayoachwa na LUHANJO.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
GENGE la mafisadi katika CCM mkoani Kigoma limepata pigo baada ya mfanyabiashara waliyemuandaa kugombea kuziba nafasi iliyoachwa wazi na yule mtuhumiwa wa EPA, Rajabu Maranda, kushindwa uchaguzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa halmashauri ya Misungwi, Waziri Magufuli hana mamlaka yoyote ya kuzuia ukusanywaji wa ushuru katika kivuko hicho, na kwamba kamwe agizo hilo hawatalitekeleza, badala...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je hawa wabunge wame deliver kitu gani kwa wananchi mpaka sasa??
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom