CHADEMA; hivi jimbo la Iramba Mashariki hamulioni, wanahitaji ukombozi

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Wasalaam wana bod i wenzangu .Jimbo la Iramba mashareiki ni mojawapo ya majimbo yaliyoko mkoani Singida.Jimbo hili linaongoza kwa kuwa na huduma mbovu za kijamii na kiuchumi ktk mkoa wa Singida.Hali hii ni matokeo ya kuwa na viongozi wabovu kama vile mbunge. Watu hawa wanahitaji mabadiliko ya kisiasa, wafikieni.
 
Malalika tuungane ktk operation toa elimu na fungua matawi CDM.
 
Vipi wake za watu wamesalimika kweli?Maana Mwigulu Nchemba ni balaa.Anyway waambie wavumilie 2015 siyo mbali sana,tutakuja kupiga kambi huko mpaka kieleweke
 
Mwigulu Nchemba ni Mp wa Iramba magharibi. Salome Mwambu ndio MP
 
Vipi wake za watu wamesalimika kweli?Maana Mwigulu Nchemba ni balaa.Anyway waambie wavumilie 2015 siyo mbali sana,tutakuja kupiga kambi huko mpaka kieleweke

Hawezi kuisahau Igunga huyu jamaa, kafumaniwa akila uroda na mke wa kada mwenzake tena ustaadhi
 
mtoa mada unawaamsha wabunge wanaotumia mda wao mwingi kukaza wanawake wa wenzao?
Waache wajichimbie kaburi.
 
Tumeshaanza maandalizi we tulia usiwe na wasi na Kama Maghamba wamekutuma waambie wakae chonjo
 
Hivi Nchemba alitumia walau Semkondom kwa huyo mama wa Igunga?

Hivi mke wa Ridhiwan atakuwa kasalimika kweli na huyu jamaa?

Isijekuwa hata katoto ni kake maana jamaa hajachagui wala simile ya wake za washikaji.

Makada wa CCM, nendeni mkapime DNA kama hao ni watoto wenu au ni watoto wa Nchemba.
 
Back
Top Bottom