Prevention of Terrorism Act yetu inavunja Katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prevention of Terrorism Act yetu inavunja Katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Jul 1, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Episodes za Mengi vs Rostam zimetufanye tusahau kabisa mambo haya...maana naona since 2005 tumekuwa bize sana na mambo ya Ufisai huku kimya kimya taiflinageuka kuwa kama lile lililotajwa na GEORGE ORWELL kwenye kitachake cha 1984 the so called wanasheria wetu kama akina Mkono wamekuwa kimya kwani wako bize na mikataba ya ifisadi..wanafunzi wa sheria wa University of Dar es salaam walitakiwa wawe vocal kama kawaida ya wanafunzi lakini wapi!!!


  Tatizo sijui hawaoni wenzao kwenye vyuo vingine kama kule UCLA walivyo active kwenye mambo haya ya kuelimisha jamiii na sielewi hata kama wanatoa PRO BONO services kwa wananchi wasio na uwezo wa kuwalipa hao akina Marando na MKONO


  Nakumbuka Prof ISSA SHIVJI alipoulizwa je ana maoni gani kuhusu hiii act yetu akasema kuwa its so perfect in terms of wording kiasi cha kuwa haiwezekani sisi tukawa that good kwani tuna historia ya kuvuruga...eventually ikaja gundulika walichokifanya ni ku COPY & PASTE ile PATRIOT ACT ya USA

  Sasa mbaya zaidi ukiipitia kwa makini hii sheria utaogopa zaidi kwani in short CIVIL LIBERTIES zote zimekuwa shelved na inashangaza kuona kuwa hii sheria imetungwa in the 21 century na imewezekanikakubalika in the eyes of those who claim kuwa wana champioon democracy.

  Kwa haraka haraka ukiisoma hii sheria primary objective yake inaonekana ni kukamata au kuzuia wale ambao wanafanya uhalifu lakini ukitaka kujua kuwa tunaishi kwenye POLICE STATE hii sheria imewapa Polisi sweeping powers mfano ni:

  section 29 (6) na section 31 (3) inawaruhusu polisi kuingia KWA SIRI nyumbani kwa mtu yoyote yule, kisha waka plant gadgets kama vinasa sauti kishabaadae kisheria wanaruhusiwa kutumia hizo information against the occupier!!


  Kana kama hiyo haitoshi huyu polisi is not under any oblication ya kuleta witness yoyote...na mbaya zaidi kwenye section 34(3) (a) & (b) of the very Act, wanasema kuwa ushahidi wa siri unakubalika...na wanaendelea kusema kuwa NO CROSS EXAMINATION IS ALLOWED & IDENTITY OF THE WITNESS NEEDS NOT TO BE REVEALED!!

  Hiyo section 3 (4) (b) ya hiyo Act ndio mbaya zaidi kwani inakubali hearsay au maneno ya mdomo kama ushahidi vile vile section 35 inasema kuwa ni sawa kukubali ushahidi by certificate WITHOUT PROOF OF SIGNATUREOF THE PERSON PURPORTED TO HAVE SIGNED IT!!

  Mpo hapo?


  basi kwa kuendelea tuu ni kuwa section 40 ya hiyo act inaruhusus the use of SECRET INFORMERSna ina provide protectionkwa hao ma INFORMERS hata kama wakipeleka habari za UWONGO from civil or criminal action against them

  Lakini mbaya zaidi kuna sections zingine kwenye hiii sheria ambazo zinaenda kinyume na basic human rights mfano ,
  section 29 (6) ya hiyo Act inasema kuwa polisi hatohusika kwa lolote lile kwenye civil or criminal proceedngs kwa sababu katumia nguvu, kaharibu mali, kaumiza au kaua raia yoyote yule wa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

  Kwa maneno mengine hi
  i section 33 ( ina excuse looting by untrustworthy police officers in that "NO CIVIL or CRIMINAL PROCEEDINGS SHALL LIE AGAINST THE POLICE OFFICERS FOR SEIZURE OF PROPERY MADE IN GOOD FAITH"

  Huhitaji kujua haya yote yanavunja Katiba na mbaya zaidi kkuna watu zaidi ya 1000 ambao wamekamatwa au wameuawawa au biashara zao zimefungwa kwa kutumia sheria hizi

  Ukisikia tunaishi kwenye police state hii ndio maana yake  btw

  BADO WANATAKA KULETA DRACONIAN LAWS ZA ID CARDS AMBAZO ZITA COST BILLIONS ...WELCOME TO POLICE STATE TANZANIA


   
  Last edited: Jul 1, 2009
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Bump....
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Jul 1, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  In dealing with Islamic terrorists like Osama bin Laden and his allies this is a perfect legislation for them! Sometimes in extreme ends the constitution itself can be lifted to allow the Martial Law to operate. The legislation is situational as long as Islamic terrorism is in existence. When it comes to an end then the legislation will have no legal effect!
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  But who is a terrorist and who is a hero?

  Leo unashabikia hapa "in dealing with terrorists..." kesho keshokutwa ukimpora Kikwete kimwana (ashakum si matusi) aka invoke hii sheria ukafichwa bila kupewa fair trial utasemaje?

  Sheria zinavyotungwa lazima ziwe na mechanism ya self policing kwa wale waliokuwa entrusted nazo, sio tutegemee tu watu watakuwa na integrity.

  Kuna wengine wanaua na kuvunja haki za kibinadamu huku wako convinced kabisa kwamba wako katika upande wa sheria, wengine wana abuse sheria makusudi.Bottom line usimpe mtu mwanya wa kuwa mungu-mtu, kwa nini tuwe na misheria licentious kama hii? kama si kutaka kujenga police state, siku rais akijisikia anaiba EPA halafu anainvoke misheria ya usalama wa taifa, siku nyingine wanafanya deal Meremeta halafu ana invoke misheria ya usalama wa taifa bila hata kutaja kitu, siku nyingine anafungua akaunti Jersey Island halafu ana invoke clause za usalama wa taifa, anaua watu na ku invoke usalama wa taifa na terrorism.

  Ukitaka kujua the real terrorism bongo kaangalie watu wanavyokufa kwa malaria, watoto na kinamama wanaokufa katika uzazi (tunashindwa hata kuyaandika haya mpaka New York Times inaandika ndiyo tunayaona humu!) angalia watu wanavyoishi maisha ya ajabu ajabu na kunywa maji ya vidimbwi, utu wa mtu usivyothaminiwa watu wamekosa elimu mpaka wanauana kwa kuatafuta ngozi za ma albino, hapa utaona terrorism ilipo bongo.

  And the real terrorist ni serikali yetu yenyewe. Wakitunga sheria dhidi ya hii terrorism mimi nitai support 100%. Sio kuiga ka tumbili, Mmarekani akitoa sheria ya terrorism na sie tupo, Mmarekani akitoa stimulus package na sie tumo, wakati hamna hata tunachostimulate, hamna hata ushuzi, mtu ambaye hajala atapata wapi ushuzi?

  Ashakum si matusi.
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kaazi kweli kweli
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  JAMII FORUMS: HOME OF GREAT THINKERS

  or is it?
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  na kwa polisi wetu walivyokuwa na tamaa, wataua na kupora watu kisha tutaambiwa "terrorist act"
  hivi mpaka tuige kila cha marekani? .....kama mahodari sana basi na tuige tunyanyue maisha ya watu yafikie hadi kama ya wale wa Marekani.
  unaetwambia kuwa kwa kudeal na islamic terrosit hii ndio inatakiwa.......nani ana define terrorism? ......na jee akifanya terrorism mkiristo jee kifungu hicho cha sheria unataka kisitumike? ...............
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  This is a good logical answer for the cynics. Au tuseme , je kuna waTz wana hobby ya U-terrorist?, kama wapo basi hii act ni jibu lao.
  Kama hawapo pilipili ya shamba yakuwashia nini?
   
 9. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu unaweza kutupa Act nzima? Na bunge lilikaa kimya KABISA wakati wa kuipitisha? Kina Slaa walikuwa wapi wakati inapitishwa hii? Au ni walipewa kamati kwa kusudi la kuwatoa bungeni...hahaha
   
 10. M

  Mwanaluguma Member

  #10
  Jul 4, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  Wewe kama si gaidi una wasiwasi wa nini? Sheria haitakugusa,nakumbuka wakati sheria hiyo inapitishwa baadhi ya waislamu waliicriticise,mimi nafikiri pamoja na uhuru wa kutoa maoni wakati mwingine kinachosemwa kinaonyesha ni jinsi gani watu wengine walivyo weak katika kutafakari(samahani kwa kusema hivyo),wewe uliona wapi sheria ya kudhibiti jinai ikawa na vipengere vinavyopromote haki za binadamu? Hacha iende hivyo hivyo!!!
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  duh!


  kAZI KWELI KWELI
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Jul 5, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kila sheria inapotungwa lazima kulikuwa na kitu kinaitwa 'mischief'. Hapa mischief ni ugaidi na ndio hasa sheria inayotaka ku-cure. Ukali wa sheria unatokana na ukali wa mischief yenyewe! Ndio maana nikasema kuna wakati hata katiba yenyewe na sheria zote za nchi zinawekwa pembeni ambapo mkuu wa nchi anapotangaza hali ya hatari! Hali ya hatari inapoisha katiba inarudi kuwa operative na sheria zote. Kudeal na ugaidi is a serious business, its not a joke. The terrorists can make a country to go back to the stone age my friend. That is what they have determined to do to the great nation-America and its allies! Why can't you open your eyes? Dont you remember that we have tested as a country the agonies of islamic terrorism in 1998 when they killed some of our countrymen and women plus Americans? What other definition of Islamic terrorism do you want?
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Jul 5, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sio kila kitu tumeiga toka Marekani. Hii sheria ilitungwa na bunge letu wenyewe. Mfumo wa sheria tulio nao pia ni wa kuiga-Common law tradition. Kwa hiyo hii habari ya kuiga isikupe tabu kwa sababu hata wewe inawezekana umeiga mavazi ya wazungu km kuvaa tai, suti, nk. Suala ni kwamba kama mtu umekiona kitu kwa mtu mwingine kinakufaa na wewe na ukaiga mimi naona sio vibaya. Definition ya terrorism tunaiona watu wanapowalipua wenzao wasio na hatia kwenye masoko, mabasi, ndege, misikitini, nk. Wewe unataka definition ipi? Iliyoandikwa kwenye karatasi? Kwa bahati mbaya uislamu umehusishwa sana na ugaidi kuliko dini yoyote duniani na ndio maana wanaoipinga sheria hii walio wengi ni waislamu. Kama una jingine lilete tuelimishane tafadhali.
   
  Last edited: Jul 5, 2009
 14. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  E bwana weee!!! vijana wapo biz na Maghembe,awape 100% ya mikopo, hawanahabari kabisaaaa na yanayoendelea nje huku.
   
 15. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #15
  Jul 5, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ukitaka sheria hii ijadiliwe vema wape mjadala huu wahanga (survivors) wa mabomu ya gaidi Osama bin Laden kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tz mwaka 1998 uone kama watasema sheria hii mbaya!
   
 16. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  ..................
  Tafuta maana halisi ya terrorism kama ipo,najua haipo ila kuna vitendo ambavyo vikifanywa,jamii athirika inaweza kuviita vitendo hivyo vya KIGAIDI.
  Pia angalia UADILIFU wa watendaji wetu ktk kutekeleza majukumu yao.KAMA POLISI LEO ANAWEZA KUMBAMBIKIA MTU KESI WAKATI HAKUNA SHERIA INAYOKUBALI,ITAKUWAJE KAMA SHERIA INAMRUHUSU?
   
 17. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sheria yenyewe mmegoma kuiweka hapa tuijadili vizuri...kwa hiyo tunaenda na hear-say tu.
  Anyway...kama nchi ina katiba, sio mahakama ndo inayobakia na nguvu ya kutoa maana ya sheria? Kwa maana hiyo...hapa mahakama ina nguvu ya ku-limit ukali wa hii sheria kutokana na jinsi itakavyo-intepret maana yake. Na kama mahakama watafuata Katiba, basi watahakikisha hii sheria inakuwa limited na kuwekwa sehemu yake ambapo haitadhuru haki za msingi tulizohakikishiwa na Katiba.
   
 18. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #18
  Jul 5, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa! Ukikoswakoswa na mabomu ya akina Osama ndio utaelewa nazungumzia nini. Kila mtu anayeona hajatendewa haki anayo sehemu ya makimbilio, mahakama ambayo inaweza kuifuta sheria kama itaona inafaa. Ukali wa sheria unaleta deterrent effect, kama mtu anataka kutenda kosa itabidi ajiulize mara mbili tatu. Sitaki kuamini kwamba wewe huamini kwamba kuna ugaidi duniani. Kama una formal definition basi uitoe badala ya kunipa mimi homework ambayo tayari nimeshaifanya.
   
 19. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #19
  Jul 6, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Watawala watafanya kila mbinu kuhakikisha wanatawala, ikiwemo ya KUMWAGA DAMU!

  Historia inaonesha kila wanalolitenda! USALAMA WA NCHI MY ASS!
   
 20. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,515
  Likes Received: 5,650
  Trophy Points: 280
  Huu ndio msingi wa tunayoyaona!hivi hii ilipenyaje waungwana?
   
Loading...