Report card ya wabunge wa Dar: Abbas Zuberi Mtemvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Report card ya wabunge wa Dar: Abbas Zuberi Mtemvu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Dec 29, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mwaka ushapita sasa tunaomba wana Temeke na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya huyu ABBAS ZUBERI MTEMVU

  Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana Temeke

  Je ana elimu gani?

  Komsomea nini

  Kasoma wapi?

  Je kashatekeleza ngapi?

  Je yumo kwenye kamati zipi?

  Je anato access kwa wapiga kura wake?

  Je ana ofisi jimboni kwake?

  Je anayo website?

  Je anayo namba maalum ya kuwasiliana na wapiga kura wake?

  Je anayo Facebook page?

  Je anapatikana kwenye Twitter?

  Je ana fanya surgery (kukutana na kuwasikiliza ) wapiga kura wake?

  Je ame declare interests zipi kama mtumishi wa umma?

  Je analipwa mshahara kiasi gani?

  Je anachukua posho?

  Kiasi gani anachukua kwa mwezi?

  Je wana Temeke wanamaoni gani kuhusu performance yake?

  Je potential competitors wake in 2015 ni akina nani?

  Je ana maoni gani kuhusiana na blue print ya kuliendeleza jumbo la Temeke?

  Je amopokea zawadi sosote toka kwa wafanyabiashara au watu binafsi?

  Zawadi hizo ni zipi?

  Je ame declare kama amepokea hizo zawadi?

  Je private life yake ni reflection ya hao anawa wakilisha?

  Je Temeke kuna issues 5 kubwa ambazo alitakiwa kuzishughulia je ni zipi?

  Je ana shiriki kwenye shughuli za kijamii (yuko close na wapiga kura wake) au haonekani mpaka kutokee issue yenye kumpa publicity?


  Je kwa Mtazamo wa haraka haraka ABBAS MTEMVU atarudishwa tena na wan Temeke in 2015?

  Je ni Cabinet material? If so wizara gani itamfaa?

  Rough estimates za Budget ya Abbas Mtemvu kulichukua tena jimbo la Temeke ni kiasi gani?
   
 2. p

  pilu JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa mpotezee tu, nadhani akaanzishe kikundi cha ngoma za utamaduni.
   
 3. n

  ngwini JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kajitahd maana 2najengewa barabara ya tandika-yombo dovya
   
 4. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Toka nimuone wakati wa kampeni sijamuona tena. Labda tunapishana kila akija mimi sipo. Kwa ujumla TMK lililobadilika zaidi ya huo ujenzi wa barabara ya tandika kupitia yombo dovya hadi jet. Hata hivyo hiyo barabara ni nguvu ya Magufuli baada ya kuingilia kati kukagua yeye mwenyewe nyumba hadi nyumba na kugundua nyumba feki zaidi ya 65 zilizochomekwa kwenye report ya fidia. Maana ilikuwa inasumbua kuwa pesa zilizotengwa za fidia hazitoshi sababu ya hizo nyumba feki. Baada ya hiyo survey ndio malipo yakafanyika jumatatu iliyofuata na wakazi wakaanza kubomoa nyumba zao wenyewe kwa hiari baad akuchukua mshiko wao na ujenzi ukaanza bila shida. Kuna taarifa zisizo rasmi huku mtaani zinasema kwamba mbunge alikuwa na nyumba zake katika hizo feki.
   
 5. i

  ikindo Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 25
  Aha! huyu jamaa kashazeeka sitegemei kama atafanya lolote, wapiga kura wake mi naona mmeingia choo kisicho cha jinsia yenu.
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  uzee si tija kwani kuna kubeba zege kule bungeni-sio maneno yangu ni ya yule mzee wa kiraracha!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  Imekula kwenu si mnachagua chagua tu kisa chama
   
 8. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Huyu Mtemvu nasikia makazi yake ni Tangi Bovu karibu na kituo cha nasi cha Samaki Wabichi. Sijui Tangi bovu iko wilaya hani, ila nina uhakika siyo TMK
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Saint what of Sugu? na ni CDM, Wafikiri ni leader material?
   
 10. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ndiye anayewastahili haswa watu wa TMK maana akili zao kama za Chege!
   
 11. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  1. Huyo jamaa ni la Saba
  2. Potential Competitor alikuwa jamaa wa CDM aliyetamka mara kuwa Jey-K hana adabu wakamkamata.Namnukuu huyo mgombea"kiongozi wa Umma unatakiwa uwakilishe watu wako, ubebe umaskini, uchungu wa maisha na matatizo yao na kufanya maamuzi kulingana na hayo, Jey-K maeshindwa, ameshindwa kufunzwa na mama.... " Wakakata matangazo ya TV
  3. Kuhusu 2015 kurudi bungeni itategemea itategemea wakazi wa Temeke watakuwa wameelimishwaje, Kumbuka Temeke ndiyo wilaya ya Mwisho kielimu na Maskini zaidi hapa Dar.
   
Loading...