HAMADI ni mtaji tosha kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HAMADI ni mtaji tosha kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gambagumu, Dec 29, 2011.

 1. g

  gambagumu JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 699
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  ikiwa tetesi zinazoendelea za cuf kumvua gamba mbunge wake wa jimbo la wawi zitakuwa kweli, bila shaka CDM kitakua na nafasi adhimu kujijenga visiwani iwapo watamshawishi mbunge huyo kujiunga na chama hicho.HII ni kwa sababu Cdm haina kamanda wa uhakika ambaye ana uzoevu mkubwa wa siaza za zenji...pia Cdm kinaweza kumpendekeza awe mgombea mwenza wa dr slaa 2015 kuliko kumpendekeza mtu ambaye hana historia inayofahamika kama ilivyokua 2010 ... hii itazidi kuongeza kura za uraisi kwa Cdm..
   
 2. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Very good idea. Hii itaimarisha CDM kule visiwani. Lakini JE?
   
 3. a

  abam Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mambo ya zanzibar waachiwe wazenji wenyewe, cdm ikomae na ukombozi wa tanganyika yetu, achaneni na hamadi
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mmmmmmmmmmmm
   
 5. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aisee mbona hii kweli inaleta mantiki!!! Tumwombe Mungu ili hasma ya CUF kufukuza huyu jamaa itimye. Kama hii itatimia basi CDM kitakuwa kitatumia hizi halfside tricky kuwauwa mafisadi kuanzia bara hadi visiwani. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibaariki Cdm kishinde 2015!!!
   
 6. k

  kuzou JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  znz ni kilema kwa cdm,hamadi hawezi kua mguu kwa alivyo ni gongo litakalosaidia chadema kutembea.
   
 7. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Taarifa nilizonazo kutoka vyanzo vya ukweli ikiwemo mzee mmoja wa WAWI ni kwamba huyu jamaa hakubaliki kule kwa sasa hasa kwa hizi harakati zake za kumpinga Maalim, kwani inasemekana kama kweli anakubalika ungekuta kaanzia wawi then huku bara lakini swala ni kwa nini anafanyia harakati zake magomeni na Manzese?

  Kingine ili CDM kishike madaraka focus yake si Zenji ni kwenye watu wengi, kwani propaganda za CCM hazitoki kwenye vichwa vya baadhi ya waTZ including waZenj.

  Kwa hiyo hatuhitaji watu wa kutimuliwa kama HR au Kafulila watakuwa kamaa Shibuda tu......, wakaanzishe chama chao ili wagombanie madaraka wenyewe kwa wenyewe.
   
 8. g

  gambagumu JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 699
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  mkuu stain zanzibar pia ni strategic area kwa cdm hasa katika kuuwa zile hoja za ukanda na udini zinazotelewa dhidi ya cdm.
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  unaweza kushinda uchaguzi wowote na kukabidhiwa dola bila hata kupata kura moja zanzibar na pemba- jimbo la ubungo pekee ni sawa na pemba yote!! kwa hiyo sioni hoja unless huyo Hamad aje tu kwa hiari yake mwenyewe lakini si kwa hoja ya kuwa mtaji wa CDM 2015. unless wafanye marekebisho mengine ndani ya katiba kwamba chama kinachounda dola lazima kipate kura nusu au zaidi toka zanzibar na pemba.

  CDM kwa sasa haihitaji mtaji wa mwanasiasa yeyote toka vyama vingine kwani yenyewe ndiyo mitaji kwa hawa wanasiasa ambao wana matatizo kwenye vyama vyao wanaweza kuja kama wanataka.
   
 10. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye red hata usipawazie coz hadi 2015 muungano utakuwa kwishney!! hata ukiwepo katiba itakayokuwepo haitalazimisha mgombea mwenza kutoka zench. NI MTAZAMO TU.
   
 11. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Hamad Rashid akitaka nyota yake iwe njema na achukue maamuzi magumu kukijenga Chadema...Yaani ingekuwa kilio na kifo kwa CUF..na CUF kinakufa sasa...
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mambo ya foreing country hayatuhusu!
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  kama kataka kumpindua seif mpemba mwenzake atashindwa nini kutaka kumpindua slaa,..huyu jamaa ni pandikizi la ccm..anapenda umaarufu binafsi kama zitto kabwe.hafai
   
 14. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi,hivi ni vyama vya siasa au NGOs?
   
 15. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  ni kweli. Hata hivyo nikikumbuka mjadala wa bungeni juu ya Kambi rasmi ya Upinzani.....,mh.. Simwamini HR kabisa. Hata hivyo HR hataweza kuchapa lapa lake hadi ofisi za CDM kuchukua kadi..sidhani.
   
 16. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  hata hivyo inabidi kuwa waangalifu.. Zigo la Shibuda tu linatosha....!
   
 17. j

  junior05 Senior Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mambo mawili, kwanza Hamad akiingia chadema atamaliza mzozo wa chinichini wa udini kwa upande visiwani na kama akiwa mgombea mwenza italeta maana sababu wazenji watatoa sapoti, kwa mtu walau wanaejua historia yake
   
 18. a

  alles JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 14, 2006
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla ya kuufikiria uwo "Mtaji tosha" wa kutoka jimbo la Wawi-Pemba. CHADEMA wajiulize kuna chochote wamejifunza kutoka kwa JOHN SHIBUDA?
   
 19. A

  Apostolos Member

  #19
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wana JF naomba tuwe makini tafadhali. HR ni zigo la CUF. Kulichukua hilo zigo kama lile jingine linaloitwa Shibuda ni kujitafutia matatizo. Ieleweke kuwa CDM sio ya kusajili 'rejects'! Tunataka viongozi wenye uzalendo wa kweli ambao nchi kwanza ndo kipaumbele na sio pungufu au zaidi. Hawa wote kina Kafulia, HR, Shibuda na wengineo ni wachumia tumbo, watu wanaosaka umaarufu binafsi nk. Tuwe makini sana na watu wanaotaka kujionesha wao ni super stars!! JK alijitambulisha hivyo, Makamba akatuambia kuwa JK ni mtaji wa CCM na kwamba JK ni maarufu kuliko CCM!!
   
 20. j

  jigoku JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hamad Rashid hana msaada wowote kwa CDM asiwatishe na popularity alokuwa nayo,angalieni matatizo alokuwa nayo,HR hatokuwa tofauti na Shibuda,na nawaomba sana CDM wasiendekeze kuchukua watu wanaohama kutoka vyama vingine hasa waliokuwa maarufu kama HR,mwisho wa siku tutajikuta tunaongeza mzigo,hebu jiulizeni tukiwa na Shibuda mbili au tatu hali itakuwaje?kuna damu changa ipo tu ndio itakayotumika kukijenga chama na hata kushika dola.
  Kingine huyu HR for sure ni pandikizi la magamba,ndumila kuwili huyu,mwacheni akaunde chama chengine
   
Loading...