Makamba ataka mwanae amrithi Shelukindo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba ataka mwanae amrithi Shelukindo...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MtazamoWangu, Aug 27, 2009.

 1. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2009
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuna tetesi kuwa Mh. Makamba amekuwa anampigia kampeni mwanae (January) za chinichini katika jimbo linaloshikiliwa na Mh. Shelukindo (Bumbuli).

  Japo Shelukindo bado ana nia ya kuendelea kubakia na pia kukubalika katika jimbo lake lakini Makamba ameshaenda kuwaona wazee na kuwaomba wamsaidie kijana wake ...anayesubiriwa sasa ni kijana aende kujitambulisha jimboni. ...japo Makamba mwenyewe hakubaliki sana kwani alishawahi kugombea na kutoswa mara kadhaa lakini anaona kijana wake ana nafasi..

  Mkisikia wabunge wanalalamikia faulo wanazofanyiwa majimboni ndio kama hizi ...lakini mbona mapema?
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Acha zibaki kuwa tetesi!
   
 3. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  yaani huyo kijana wake hata kwenda yeye mwenyewe ameshindwa mpaka baba yake amuendee kwani anapeleka posa???kweli hii bora ibaki kuwa tetesi
   
 4. J

  JokaKuu Platinum Member

  #4
  Aug 27, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  ..Shelukindo amefanya mambo gani makubwa huko Bumbuli?
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Waache demokrasia ichukue mkondo wake mi nashangaa wabunge wanao sema wanachezewa rafu wanataka wawe wabunge milele?
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hapo mkubwa tuko pamoja kama rasta na msokoto!!!!!!
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh swadakta mkuu tuache demokrasia ifanye kazi wananiboa sana wabunge wanao jiona wao ndo wenye haki ya kugombea kila kipindi.
   
 8. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hilo swala dogo sana kwa ccm.hapo kinachofanywa shellukindo anendelea ubunge wake bumbuli na january anapewa ubunge wa viti maalum wamemaliza kazi.
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  Sasa si baba ake kaenda kuongea nao kwanza? We hauoni hata maofisini kabla mtu hajaenda kuonana na mabosi wenyewe kuna kuwa na mtu ana tambus=lisha kabisa kuwa mtu fulani ana kuja na ana nia hii naomba mumsaidie?
   
 10. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2009
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haya mambo ya kila anayetaka kugombea anakwenda kwa wazee kutoa kahawa na kuwadanganya kwani wanaona wazee bado ndio wamestick kwenye mambo ya kizamani na hataki mabadiliko mbona hawaendi kwa vijana ambao ndio kundi kubwa la wapiga kura
   
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mimi naona yule binti wa Makamba - Mwamvita - naye anafaa sana kuwa mbunge (hasa akilinganishwa na yule mchemfu mama Ghasia aka ukosefu wa amani na utulivu).
   
 12. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Mkuu cheki tena source yako, maana anayetayarishwa ni yule mwanadada wa Vodacom ambaye hakosi picha yake Michuzi atleats kila wiki, I mean anayetayarishwa ni dada mtu na sio kaka, haya tulishayasema hapa JF longtime ago!

  - Makamba aliharibu sana huko kwao, alipojaribu kumharibu Kigoda hakuna wa kumsikiliza tena huko maana alimuuudhi hata Muungwana on that, ambaye alimkaripia sana kwenye kikao cha CC Dodoma, kilichowaokoa wabunge wa Arusha "waliokamatwa na rushwa".

  Respect.


  Field Marshall Es!
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  yupo sahihi kabisa, mwanae naona yupo fit.
   
 14. n

  ntangeki Member

  #14
  Aug 27, 2009
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani demokrasia itachukua mkondo wake...hiyo ndio siasa popote duniani!!
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Aug 27, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  ''Makamba ataka mwanae amrithi Shelukindo'' then what?

  lengo lako ni nini mkuu sijaelewa bado!this is common kwa CCM!
   
 16. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Waacheni watu wa Bumbuli watoe maoni yao na wala tusiwatolee maoni. Kama hajafanya lolote wana Bumbuli ndio wataamua aidha kwa kura ya maoni au kwenye Uchaguzi mkuu kupitia maboksi ya KURA.

  Anaweza akawa hajafanya lolote kwa Bumbuli lakini kuna kipindi alitunishiana misuli na serikali ya JK kuhusu mitambo ya dowans kununuliwa na serikali. Nafikiri tunajua kilichofuata......
   
 17. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  maybe its about time Baraka aka Big Ron atakuja kujoin JF na kumetetea baba yake

  au ataamua kumrithi baba yake lakini itabidi atueleze imekuwaje akazaa na dada yake?

  ndio kampeni zenyewe hizo na hasa ukishakuwa public figure

  Opps1 nimesahau kuwa Baraka hajaamua kuwa ni raia wa nchi gani maana ana passport ya Tanzania na Uingereza kama Nambua Mlaki

  hivyo on that basis Baraka should be out...

  now back to Shelukindo mwenyewe inabidi atueleze kama mtunga sheria wetu inakuwaje wanae wana passports mbili mbili?

  Mimi nilipita kule na kuzungumza na wazee the word on the ground kuwa watu washamchoka huyo mbunge wao na sasa hivi anatafuta visingizio . Nakumbuka last time kasema hagombei and when he went to run in 1995 alikuwa ndio amestaafu serikalini. Sasa he wants to be an MP for 20 more years!!!

  that makes everybody kule Bumbuli sick na kumbukeni wabunge dizaini hii wako wengi tuuu huko CCM

  sasa anaanza ku pre-empt kuwa anavamiwa huku kasahau kuwa wan Bumbuli si wajinga kama navyofikiria
   
  Last edited: Aug 27, 2009
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Taji Liundi na Mwamvita Makamba wameowana ama ni mikasi tu!
   
 19. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  inahusiana vipi na Shelukindo kutaka kuwa mbuge wa Bumbuli for the next 20 years?
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Yakhe, Makamba kurithisha watoto wake!
   
Loading...