Uhusiano uliopo kati ya mradi wa maji wa ziwa Victoria to Kahama na mgodi wa maji wa Buzwagi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano uliopo kati ya mradi wa maji wa ziwa Victoria to Kahama na mgodi wa maji wa Buzwagi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Micro E coli, Dec 28, 2011.

 1. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Likizo hii nimetembelea mji wa Kahama nilichogundua wananchi wa eneo hili wanahali ngumu sana kiuchumi licha ya kuwa na madini mengi chini ya ardhi yao madini yao yanakwepuliwa tu na wageni kutoka ugaibuni wananchi wanabaki na vumbi tu,masikitiko ni pale hata haya maji ya mradi wa ziwa VICTORIA hayatoki leo ni siku ya pili lakini cha ajabu maji hayo yanatoka kwenye mgodi wa buzwagi na lengo kubwa la kuleta majini mjini hapa ilikuwa nikwaajili ya mgodi wa buzwagi ndio maana maji mengi yanatumika huko,wakazi wa KAHAMA hawanufaiki na mgodi shule zimechoka,barabara mbovu,nyumba zimejaa vumbi tu,wakazi wamaeneo haya madini kwao ni adhabu na dhahama nawasilisha wakuu. barabara ya Isaka Kigali.jpg matanki ya mradi wa ziwa VICTORIA KAHAMA nyahanga.jpg makazi ya wenyeji wanaoishi nyahanga KAHAMA eneo ambapo matanki makubwa ya mradi wa ziwa VICTORI.jpg makazi ya wenyeji wanaoishi nyahanga KAHAMA eneo ambapo matanki makubwa ya mradi wa ziwa VICTORI.jpg nyumba hizi zipo karibu na matanki ya kuhifadhia maji ya mradi mkubwa wa maji wa ziwa Victora ku.jpg barabara ya Isaka Kigali.jpg matank ya kuhifadhia maji ya mradi wa ziwa VICTORA yapo KAHAMA eneo la nyahanga.jpg matanki ya mradi wa ziwa VICTORIA KAHAMA nyahanga.jpg makazi ya wenyeji wanaoishi nyahanga KAHAMA eneo ambapo matanki makubwa ya mradi wa ziwa VICTORI.jpg nyumba hizi zipo karibu na matanki ya kuhifadhia maji ya mradi mkubwa wa maji wa ziwa Victora ku.jpg barabara ya Isaka Kigali.jpg matank ya kuhifadhia maji ya mradi wa ziwa VICTORA yapo KAHAMA eneo la nyahanga.jpg matanki ya mradi wa ziwa VICTORIA KAHAMA nyahanga.jpg nyumba hizi zipo karibu na matanki ya kuhifadhia maji ya mradi mkubwa wa maji wa ziwa Victora ku.jpg barabara ya Isaka Kigali.jpg matank ya kuhifadhia maji ya mradi wa ziwa VICTORA yapo KAHAMA eneo la nyahanga.jpg matanki ya mradi wa ziwa VICTORIA KAHAMA nyahanga.jpg makazi ya wenyeji wanaoishi nyahanga KAHAMA eneo ambapo matanki makubwa ya mradi wa ziwa VICTORI.jpg nyumba hizi zipo karibu na matanki ya kuhifadhia maji ya mradi mkubwa wa maji wa ziwa Victora ku.jpg barabara ya Isaka Kigali.jpg matank ya kuhifadhia maji ya mradi wa ziwa VICTORA yapo KAHAMA eneo la nyahanga.jpg matanki ya mradi wa ziwa VICTORIA KAHAMA nyahanga.jpg makazi ya wenyeji wanaoishi nyahanga KAHAMA eneo ambapo matanki makubwa ya mradi wa ziwa VICTORI.jpg nyumba hizi zipo karibu na matanki ya kuhifadhia maji ya mradi mkubwa wa maji wa ziwa Victora ku.jpg barabara ya Isaka Kigali.jpg matank ya kuhifadhia maji ya mradi wa ziwa VICTORA yapo KAHAMA eneo la nyahanga.jpg matanki ya mradi wa ziwa VICTORIA KAHAMA nyahanga.jpg makazi ya wenyeji wanaoishi nyahanga KAHAMA eneo ambapo matanki makubwa ya mradi wa ziwa VICTORI.jpg nyumba hizi zipo karibu na matanki ya kuhifadhia maji ya mradi mkubwa wa maji wa ziwa Victora ku.jpg barabara ya Isaka Kigali.jpg
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  umejuaje kama buzwagi maji yanatoka? acha majungu wewe
   
 3. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu acha jaziba tujuze yanatoka au hayatoki?Hapa ni uwanja wa great thinkers eleza ukweli tujue ninani anapiga majungu,siyo kufura.Vipi ule ukuta umekamilika hapo Buzwagi?Mpe salaam Mr Kenny Webber
   
 4. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  hata buzwagi maji ya ziwa victoria hayatoki. Jamaa wamevuna maji ya mvua ambayo yanaweza kuwatosha kwa miaka nane bila mvua au bila maji kutoka lake victoria. Tembelea website yao. Kunapokuwa na tatizo la maji line ya kwenda buzwagi huwa inafungwa kuruhusu maji yaende kwa wananchi
   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu umefika Kahama?...au nawe unasoma magazeti na website..
   
 6. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nakubali kuna issues nyingi zinazopaswa kuwa addressed kuhusu buzwagi lakini siyo hili. Kwanza wewe ni mgeni halafu unachongoa mdomo bila hata kuuliza wenyeji, unataka kumwaga sumu ili uwachonganishe wananchi na serikali yao bila sabau ya msingi
   
 7. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  $iku ya sita leo nipo khm. Ni kweli maji leo siku ya pili hakuna. Kinachonikera ni ile kauli kuwa maji ya lake victoria yana flow huko buzwagi kitu ambacho si kweli
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu lakini moja ya ishu zakuwa addressed hapo ni salary mbona iko chini sana kulinganisha na nyamongo,bully na hata tulawaka while ni Barrick na hapo ndipo inapatikana chokolate lifu yenyewe?
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sasa mkuu polisi nawewe nikuulize uko kahama umejuaje kuwa maji hayatoki huko ndani buzwagi au uko ndani village kule au ndo mambo ya kusimuliwa?
   
 10. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hii kama sio chumvi itakuwa magadi rafiki.. hebu tuthibitishie wana reserve ya lita ngapi na matumizi yao ni lita ngapi kwa mwaka na mvua za ujazo gani zimenyesha kwa muda gani kujaza hiyo reserve yao la sivyo..
   
 11. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Now you are there. Hizi ndiyo issues za kujadili siyo huu upuuzi aliyoleta huyu mpiga majungu. Siyo tofauti ya mishahara kati ya mgodi na mgodi lakini pia kwa tanzania kima cha chini barrick ni 12% zaidi ya kile cha serikali wakati nchi nyingine walipo barrick ni zaidi ya 100%. Tuwaulizeni serikali yetu sikivu
   
 12. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wewe naona kichwani pombe tu. Unafanya mchezo na investment ya buzwagi eeh?
   
 13. M

  Mkandara Verified User

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hiyo water reserve iko wapi hapo KHM?..
   
 14. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  nipo ndani buzwagi. Sema lingine
   
 15. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Da. Aisee yaani hii nchi kweli watu wamelala fofofo. Hivi unadhani watu wanapopiga kelele kuwa tunaibiwa unadhani wanatania. Kwa taarifa yako jamaa wanachimba hawajaja kucheza mdumange. Ile reserve hata ukiwa barabarani unaiona. Amka wewe
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Suala la nyinyi kuunganisha nguvu kudai haki zenu ni gumu sana maana jamaa walishawagawa hata kwenye usafiri mnakubali kutengwa eti Casspian asipande gari la barrick,huyu ni wa betabiding asipande gari la shimiyu wakati wote ni watz na matatizo yenu yanafanana matokeo yake kunakuwepo na wenyekujiona bora na wengine wanyonge na mbaya zaidi ma miners hata politcs iko kushoto so kazi ya ukombozi kwenu naiona imbali sana
   
 17. J

  Jadi JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,402
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  kweli polisi na akili za polisi waTz,unadanganyika kirahisi hivyo!!!
   
 18. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Imeandikwa katika biblia kuwa 'nitampiga mchungaji na kondoo wa bwana watatawanyika' serikali yetu ipo mfukoni mwa wawekezaji, unategemea wananchi tuna ubavu wa kusimama?
   
 19. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nadanganyika nini sasa. Nadanganywa kwamba kuna reserve wakati hakuna? Ngoja nilale zangu, naona hakuna issue
   
 20. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Fungueni tawi la wakereketwa wa cdm hapo jirani kijiji cha mwendakulima halafu kamanda Lissu aje apige kambi kumwaga elimu ya uraia,hakika watu watazinduka,mkiendelea kuwa waoga basi itaendelea kula kwenu
   
Loading...