Sauti:Mahojiano na Mkuu wa kamati ya Nidhamu ya CUF

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
Multimedia - DW-WORLD.DE


[h=1][/h]Amina Abubakar anazungumza na Mkuu wa Idara ya Nidhamu na Maadili ya CUF, Abdul Kambaya, juu ya kilichotokea na kitakachotokea hapo baadaye katika sakata la Mbunge Hamad Rashid.

chanzo:dw-swahili
 
anasemaje sasa manake sio kila mtu ana acceSS na radio wala tv saiv.toa habari kamili
 
Kwa jinsi anavyoongea huyo jamaa, ni dhahiri hiyo tarehe 30 wanakwenda kuridhia kile kilichoamuliwa na maalim Seif ambacho ni kumfukuza Rashid. Sioni kama CUF itabaki salama baada ya vurugu hizi.
 
Dah! kumbe jamaa aliingia halafu akasikilizia upepo unapovumia akaamua kutoka kiaina kuogopa rungu la kichaa
 
Back
Top Bottom