Report card ya wabunge wa Dar: Mussa Azzan Zungu

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
1023.jpg


Mwaka ushapita sasa tunaomba wana Ilala na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya Mbunge MUSSAN AZZAN ZUNGU

Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana Ilala

Je ana elimu gani?

Komsomea nini

Kasoma wapi?

Je kashatekeleza ngapi?

Je yumo kwenye kamati zipi?

Je anato access kwa wapiga kura wake?

Je ana ofisi jimboni kwake?

Je anayo website?

Je anayo namba maalum ya kuwasiliana na wapiga kura wake?

Je anayo Facebook page?

Je anapatikana kwenye Twitter?

Je ana fanya surgery (kukutana na kuwasikiliza ) wapiga kura wake?

Je ame declare interests zipi kama mtumishi wa umma?

Je analipwa mshahara kiasi gani?

Je anachukua posho?

Kiasi gani anachukua kwa mwezi?

Je wana Ilala wanamaoni gani kuhusu performance yake?

Je potential competitors wake in 2015 ni akina nani?

Je ana maoni gani kuhusiana na blue print ya kuliendeleza jumbo la Ilala?

Je amopokea zawadi sosote toka kwa wafanyabiashara au watu binafsi?

Zawadi hizo ni zipi?

Je ame declare kama amepokea hizo zawadi?

Je private life yake ni reflection ya hao anawa wakilisha?

Je Ilala kuna issues 5 kubwa ambazo alitakiwa kuzishughulia je ni zipi?

Je ana shiriki kwenye shughuli za kijamii (yuko close na wapiga kura wake) au haonekani mpaka kutokee issue yenye kumpa publicity?


Je kwa Mtazamo wa haraka haraka AZZAN ZUNGU atarudishwa tena na wana Ilala in 2015?

Je ni Cabinet material? If so wizara gani itamfaa?

Rough estimates za Budget ya Zungu kulichukua tena jimbo la Ilala ni kiasi gani?
 
Nakumbuka alivyo sema kwamba wananchi wa jangwani bondeni wasiondoke kwa kuwa wakubwa wana njama za kuwahamisha ili wajenge sehemu ya kwenda kulia ice cream. Akasema wao watabaki hapo hapo wakiwa wanakula ubuyu wao!

Mafuriko yametokea yamewaathiri watu wa jangwani sijamsikia akisema chochote!
 
Msanii tu huyu jamaa, afu anaweza kua ni
al shabaab kiaina zaid ya hapo ni mfanya biashara ingawa aina ya biashara ana ijua yeye.
 
huyu kaenda sana uk na kina ndungai kudai chengi ya rada ili waifaidi pamoja na mafisadi
 
Wenyewe mmemchagua huyo! Sina uhakika kama hata form 4 alifika huyo mbunge wenu.
 
Anatoa access kwa watu wa Ilala bila shaka.

pia anattend mikusanyiko yote ya wana ilala ya furaha au huzini (ofcoz akiwa free na Ialal).

Ana mitazamo mikubwaaa kuhusu Ilala.

Ana bifu na meya wa Dar.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom