Upinzani kufa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upinzani kufa Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKUNGA, Dec 28, 2011.

 1. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa matukio machache yanatoa ishara mbaya kwa ustawi wa upinzani nchini

  1. NCCR Mageuzi-sakata la kumfukuza uanachama kafulila. Hii ni sawa una jicho moja halafu unalitia mchanga. NCCR imekaa benchi mda mrefu bila kuwa na mbunge leo hii mpasuko huu wa kufukuzana ndio unaimalizia NCCR kbs.

  2.CUF-Issue ya Hamad Rashid versus Seif Sharif Hamad. Nani asiyejua nguvu ya CUF ktk uchaguzi 1995,2000 na 2005? Ngangariiiiii,hakiiiiiiiiiii, sawasawaaaaa. Ledo hii chama hiki kimepoteza umaarufu wake. Badala wakae chini watafute namna ya kujenga chama wanatafuta namna gani wafukuzane.

  3. CHADEMA-Bado hali shwari, ila itategemea watakavyo handle uchaguzi wao na issues za kina Shibuda,Zito etc.

  Kwa ujumla upinzani hali si shwari hata kidogo hivyo ukuaji wa demokrasia upo shakani maana hii fukuza fukuza itatufanya tuwe na vyama 100 vya siasa.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mods, toa hii takataka inajaza server tu. Threads zenye message hii zimeshatoka kibao huko nyuma. Naomba wanaJF wengine msijadili hii.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  wakati mwingine upuuzi kama huu ndio unaidhalilisha jamii forum.Ukiwa mtumwa wa Nepi unaweza hata kutembea uchi bila kujijua
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kwa vile unatumia masaburi ndio maana huoni migogoro inayoitafuna CCM kuhusu kujivua magamba.
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  copy and paste ya mada za watu..kama huwezi kuanzisha uzi wenye mashiko,kuwa mchangiaji au guest kama sisi
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Acha wewe kuchangia, lakini wengine tutachangia kama kawaida.:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
   
 7. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Kwani ni uongo kusema kwamba upinzani unakufa kifo cha taratibu lakini cha uhakika.
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Exclusive CHADEMA
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hizi ni propaganda.
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hautakufa lakini cha moto utakiona
   
 11. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siyo kweli. Fanya utafiti halafu utuletee takwimu tupime wenyewe. Hatuwezi kujadili maneno tu yasiyokuwa na backup
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Upinzani unaenda kombo! Lakini historia inaonyesha kwamba tangia ujio wa vyama vingi nchini, vyama vya upinzani vimekuwa vikipokezana vijiti! Walianza NCCR Mageuzi kisha wakaipa CUF na CUF ikaipa CDM sijui sasa CDM itampa nani!
   
 13. r

  rwazi JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uvivu wa kufanya utafiti.ccm ina wanachama wangapi jkati ya watanzania wote
   
 14. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
   
 15. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jee ikenguwa thread inasema CDM kushinda 2015 ungesema takataka? Au unamaana yanayofanyika ktk CUF,NCCR yana tija au hasara ktk upinzani?
   
 16. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ni Wifi yake Rejao. So msimshangae sana!
   
 17. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwani upinzani maana yake ninini?
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Naungana na wewe kwamba Upinzani utakufa Tanzania Pindi CHADEMA watakapochukua utawala wa nchi hii. Hakutakuwa na sababu ya kuwa na vyama vya upinzani, kwani CHADEMA peke yake ndiyo yenye mrengo wa kuwafanikishia wananchi mahitaji yao!


  Sisi Tuna MUNGU wao wana PESA!
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Naona siku ikipita bila kutaja hilo jina husikii raha kabisa!!
   
 20. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Upinzani utakaokufa ni huu hapa, tena utakufa kabla ya 2015:
  a) Kutumia walinzia wasioonekana kwa macho ya wanadam;
  b) CDM ni chama cha kikrustu na cha kikabila;
  c) Upinzani ni vita -mfano CUF waingiza nchi mapanga yenye nembo za chama chao kwa ajili ya kuanzisha vita;
  -waweza ongeza orodha kwa kadri kumbukumbu yako itakavyo kuwezesha.

  Lakini -vyama vya ushindani yaani - CDM, CUF, NCCR-M, TLP, nk, vitazidi kuimarika kadri muda unavyozidi kwenda, kwani ufahamu wa nini maana ya siasa za ushindani unazidi kukolea ktk maisha ya watz kila iitwapo leo; na tena ukitilia maanani ahadi za li-chama letu zisizotekelezeka, ziko mbali na hali halisi ya maisha ya watz kama ilivyo ardhi na mbingu. Oooooh! hiyo hali ndo inazidi kunogesha mioyoni mwa watz hamu ya kuvipenda na kuvi-support vyama vya ushindani, ili hali kule gizani tunaendelea kulaza bongo kuwa ni vya upinzani. Tafakari
   
Loading...