Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka Mpya Na Miungu Ya Kisiasa Watu wengi wana tabia ya kusheherekea siku ya kuingia mwaka mpya, wengi upatwa na furaha na kuingiwa na kiwewe cha kuiona siku na mwaka mpya, kwa kujiona kuwa...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Daniel Mwaijega NIANZE kwa kuwatakia heri ya Mwaka Mpya wasomaji wote wa safu hii nikiamini Mungu kwa upendo wake amewawezesha kuingia mwaka huu wa 2012 mkiwa na afya njema na amani tele...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niwahi kujibu kuwa cjatumwa na mtu yeyote. Hakuna kitu kibaya kabisa ktk maisha ya mwanadam km 'KUFISADI MAADILI' ya mtu au jamii. Jamii yetu imefisadiwa maadili lkn kwa mshangao mkubwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
JK atoa salamu za mwaka mpya 1st January 2012 Awakaripia wanaowatisha umma mjadala wa Katiba Aridhishwa kwa utulivu na usalama uliopo nchini Asikitishwa kwa majanga yaliyotokea...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Nimeona jinsi julius mtatiro akiwasilisha mada hapo hapo anatimua mbio hangoji kujibu hoja na mambo ambayo wanajf wanakuwa na shaka nayo
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Binafsi sielewewi, na ninaomba sana kama yupo mwenye data za uhakika anijuze ni nini lilikuwa lengo la Mwl. Nyerere kuutaka Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Nikilifahamu hili pengine linaweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa tafsiri rahisi Stateperson ni mtu yeyote ambaye kwa aina yake ya maisha akiwa mtumishi wa umma alitumia uwezo wake wote kuutumikia umma kufikia utumishi uliotukuka. Anaweza kuwa ni mtu yeyote...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pamoja na mazingira magumu ya kufanyia kazi,lakini wanatoa wahitimu,chekechea mpaka chuo. 2.wanajeshi nao wanajitahidi 3.wauguzi na madaktar Walioboronga miaka 50 1.wanasiasa(wanashibisha...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
wanajf tunaamini kuwa kazi ya madiwani ni pamoja na kutumia vikao halali vya halmashauri kisheria kujadili maendeleo na hata mapungufu yaliyopo na yanayoweza kutokea ndani ya halmashauri husika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Erasto Tumbo anapwaya sana ktk hii idara. Makamanda hamuoni?!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanabodi. Nimesema mara nyingi kwamba Chadema inaongozwa na watu wasioamini kabisa katika demokrasia. Wanatumia neno demokrasia kujihalalisha tu na pia kutafuta uhalali wa kukubaliwa na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Uchaguzi mkuu umekwisha mwaka 2010 na kuchaguliwa serikali inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI(Bila kujali uhalali wake kama kulikuwa na uchakachuzi au la).Lakini jambo la kushangaza mno ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa haya ya Hamad Rashid, Maalim Seif: Ilikuwa sawa CUF kukosa Urais YAPO madai kutoka Chama Cha Wananchi, CUF, na kwa wananchama wake kwamba chama chao kimekuwa kikishinda nafasi ya urais...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Wapendwa wana JF nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2012, pokeeni baraka za mungu kwenye mwaka huu. Ninachotaka tujadili ni hiki hapa: Bunge kwa maana yake ndicho chombo cha juu kabisa cha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Vijana tulio wengi tumekuwa tukilalamika sana kuhusu hali ya maisha. Ni ukweli kuwa serikali imechangia kufika hapa tulipo kwa asilimia zaidi ya tisini. Kwanza kwa kuingiza wawekezaji na kuua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ameyasema hayo huku akisisitiza kua kitendo cha maaskofu kuendelea kumuandama Raisi Jk mara kwa mara si cha kiungwana huku akiwa amefanya mambo mengi huku akiungwa mkono na BAKWATA huku wao...
0 Reactions
106 Replies
9K Views
Ni ipi nafasi ya mwenyekiti wa CCM katika hii issue?? Tujuzeni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WANA BODI Chadema Imarike zaidi 2012-2015 pamoja, wanaharakati Wapenda amani inayozingatia msingi ya haki,ili kuleta Ukombozi wa pili Tanzania
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SALAAM ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA, NDUGU NA TASNIA ZIMA YA HABARI, KUFUTIA VIFO VYA WAPENDWA WETU, HALIMA MCHUKA NA JOHN NGAHYOMA CHAMA cha Demokrasia na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Tangu JK aingie madarakani, unadhani ni ipi speech yake nzuri?
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom