Wana jf tuwashauri madiwani hawa haraka la sivyo!!!!!1............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf tuwashauri madiwani hawa haraka la sivyo!!!!!1............

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by USTAADHI, Jan 1, 2012.

 1. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  wanajf tunaamini kuwa kazi ya madiwani ni pamoja na kutumia vikao halali vya halmashauri kisheria kujadili maendeleo na hata mapungufu yaliyopo na yanayoweza kutokea ndani ya halmashauri husika, kuwajibisha watendaji wanapotumia madaraka vibaya pia ni jukumu la madiwani
  kwa musoma vijijini hali ni tofauti kwani mwenyekiti wa ccm wilaya akishirikiana na mbunge wa jimbo la musoma vijijini wameitisha kikao na kuwanunulia madiwani bia na vyakula mbalimbali wakijifanya wanaukaribisha mwaka mpya.

  baada ya madiwani kulewa po mbe wakaaanza kutoa lugha chafu na matusi ya nguoni dhidi ya mkurugenzi wa halmashauri kitu ambacho tafsiri yake ni ;
  1kudhalilisha wataalamu kwa ujumla na kuonesha hawana akili
  2kuonesha ni jinsi gani nchi hii haina utawala bora na udhalilishaji ndani ya ccm ni mkubwa! kwa wataalaamu wasiokubaliana na matakwa yake
  3mbunge huyu mkono anatumia hela yake kudhalilisha wataaalamu wa serikali na ushawishi wake
  4njaa ya madiwani pia ni tatizo kwa kukubali kila analosema mbunge mkono
  5huyu mwenyekiti wa ccm alikuwa ni sehemu ya madiwani pia? .NAOMBA TUWASHAURI HAWA MADIWANI NDUGU ZANGU
   
 2. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  ushauri wangu ni kwa sheria kutamka kiwango maalum cha elimu kwa wagombeawa udiwani kwani yote yanyoongelewa na kusababishwa na migogoro ya madiwani haina ubishi inatokana na uwezo mdogo walionao madiwani wetu kielimu, chukulia jiji la Mwanza, Mbeya nk elimu yao kwa asilimia 95% ni std seven.
   
 3. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Haituhusu hayo ni mambo yenu magamba bwana.You cannot find such a thing kule Musoma mjini kwa kamanda Vicenti Nyerere.Peooooooooples Poweeeeeeeeeeer
   
Loading...