Nani ni Stateperson wetu?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kwa tafsiri rahisi Stateperson ni mtu yeyote ambaye kwa aina yake ya maisha akiwa mtumishi wa umma alitumia uwezo wake wote kuutumikia umma kufikia utumishi uliotukuka. Anaweza kuwa ni mtu yeyote yule ambaye anaheshimika na jamii yake. Kwa Tanzania mtu aliyekuwa na sifa ya Stateperson ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Baada ya kifo chake nafasi hiyo imebaki wazi kwani kwa sasa hakuna mtu ambaye katika jamii yetu anaonekana kusimamia maslahi ya taifa.

Kama Taifa jee ni nani kwa sasa anafaa kuwa Stateperson wetu?
 
Kwa tafsiri rahisi Stateperson ni mtu yeyote ambaye kwa aina yake ya maisha akiwa mtumishi wa umma alitumia uwezo wake wote kuutumikia umma kufikia utumishi uliotukuka. Anaweza kuwa ni mtu yeyote yule ambaye anaheshimika na jamii yake. Kwa Tanzania mtu aliyekuwa na sifa ya Stateperson ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Baada ya kifo chake nafasi hiyo imebaki wazi kwani kwa sasa hakuna mtu ambaye katika jamii yetu anaonekana kusimamia maslahi ya taifa.

Kama Taifa jee ni nani kwa sasa anafaa kuwa Stateperson wetu
?

mbona kama vile umeanza kujibu swali halafu ukauliza swali?
 
Hapana kama angekuwepo nisingeuliza, najua kwa sasa hakuna stateperson kwa sababu kila atakayesimama na kusema ama atahusishwa na Chama chake, Dini yake, Kabila lake, Jinsia yake au Ukanda atokao. Swali langu linahusiana sana kutaka kujua kama kuna watu wana sifa ya kuwa Stateperson lakini watu hawawaamini kuwa Stateperson wao.
 
Stateperson ni waalimu wa tanzania(pr&sec)wamekufundisha wewe bila kinyongo,ila bado wanaish maisha magumu,na bado wanatoa wahitimu std7 to form6
 
Nakubaliana na wewe lakini wote hawawezi kuwa ni Stateperson kwani hiyo ni sifa binafsi. Tuchagulie mmoja basi ili huyo akisema kitu basi CDM, CUF,CCM na taasisi nyingine zilikubali au hata wakitaka kulipinga basi walipinge kwa hoja za ukweli na kwa ustaarabu.
 
Back
Top Bottom