Rasimu ya Katiba ya CHADEMA haina uhalali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rasimu ya Katiba ya CHADEMA haina uhalali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, Dec 31, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wanabodi.

  Nimesema mara nyingi kwamba Chadema inaongozwa na watu wasioamini kabisa katika demokrasia.

  Wanatumia neno demokrasia kujihalalisha tu na pia kutafuta uhalali wa kukubaliwa na watanzania.

  Chadema ikaomba kuonana na Rais kuhusiana na mchakato wa katiba, Rais Kikwete hakufanya hiana akawakubalia ili asikie kile wanachotaka.

  Sisi wananchi bado tunabaki hewani hatujui inapinga nini na inataka nini.

  Walipoonana na Rais, wakamkabidhi rasimu yao ya katiba wanayodhani ndio bora na inayowafaa watanzania.

  Baadae tukaanza kuwasoma Chadema wakidai eti JK amewauza kuhusiana na mchakato wa kupata katiba mpya.

  Hapo ndio yanapoibuka maswali na majibu kuiumbua Chadema, Je walimpelekea JK rasimu yao ya katiba ili aifanyie nini? Je, walitaka JK aiidhinishe na kuithibitisha rasimu kwamba ndiyo katiba halali ya watanzania?

  Hiyo rasimu ya katiba ni mali ya nani? Ni ya watanzania ama ni ya Chadema?

  Hivi ni lini ambapo Chadema wamezunguka nchi nzima kupata maoni ya watanzania wengine nje ya chama chao.

  Hiyo rasimu imepata wapi uhalali au "Justification" kiasi cha kuwapa jeuri ya kugomesha wananchi na kuwataka wasusie kutoa maoni yao kuhusiana na mchakato wa kupata katiba mpya.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  stereotype
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  tapeli mkubwa wewe
   
 4. e

  enockk Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hayo maneno yaliyokuwa bolded, mkubwa soma news na uzielewe..chadema hawakupeleka rasimu ya katiba, isipokuwa walipinga rasimu iliyotolewa na serikali kwa kuwa haukutolewa muda wa kutosha kujadiliwa na kutolewa maoni na wananchi..
  Ila kama unamaslahi yako binafsi, mkuu endelea, uchumi wa nchi unakufa, nchi imeoza kwa upuuzi wako na wenzako mnaoshabikia vitu vya kipuuzi kwa maslahi ya kijinga..
  Ni hayo tu mkuu..mm sina msimamo wa kisiasa na chama chochote..
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kama Chadema hawakupeleka rasimu ya katiba walipeleka nini?

  Na hicho walichopeleka walitumwa na watanzania?
   
 6. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="width: 70"]
  [/TD]
  [TD="width: 440"]
  IMANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 70"]
  1.
  [/TD]
  [TD="width: 440"]
  Binadamu wote ni Sawa
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  [/TD]
  [TD] [​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 70"]
  2.
  [/TD]
  [TD="width: 440"]Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa
  na kuthaminiwa utu wake
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 70"]
  [/TD]
  [TD="width: 440"] [​IMG][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 70"]
  3.
  [/TD]
  [TD="width: 440"]Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya
  kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hujui walichopeleka chadema kwa kikwete lakini hapo hapo unasema walipeleka rasimu ya katiba. huu ni uzuzu!!

  Waraka uliopelekwa kwa kikwete ulipostiwa hapa JF siku ile ile na kila mmoja aliusoma, sasa sijui siku ile ulikuwa wapi, ama uliusoma ukadhani ndio rasimu ya katiba. Hii ndio shida ya kusoma shule ya kata na baadae kuajiriwa na nape, hata mambo madogo kama hili unashindwa kulielewa.
   
 8. p

  pomoni Member

  #8
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  pamoja na ufahamu wangu mdogo, ni kwamba ninachofahamu ni kuwa Cdm waliwasilisha mapendekezo yao kuhusiana na mchakato huo wa katiba, baadhi ya mapendekezo Rais aliyakubali, na akaahidi kuyafanyia kazi kabla ya kutiwa saini kwa muswaada huo, ili mchakato mzima mzima wa katiba uanze vizuri, sasa hilo unalosema, mhe. naona ni jipya sana kwangu, au labda sikuwaelewa vizuri au vyombo vya habari vilipotosha ukweli?, let us be realistic with this sentive issue, thanks.
   
 9. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  walipeleka makalio yako na walitumwa na wajinga wanzako kenge mkubwa!
   
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Mpuuze anaandika upupu kujaza server tu
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mura.
  Nadhani umeshindwa kueleza Chadema walipeleka nini Ikulu umeishia kusema uliletwa humu JF.

  Wewe kiswahili kinakupa shida Mura, nimetumia neno rasimu umeshindwa kuelewa Mura.

  Labda unataka nikuambie hivi Chadema walipeleka Muswada wa sheria ya mabadaliko ya katiba..

  Nadhani Mura umenipata, halafu nasikia wewe unafanya kazi kwa Dr Slaa ya kumlea mtoto wake mchanga?
   
 12. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Bullshit!
   
 13. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  siku hizi unafikiria kidogo sana! RASIMU YA KATIBA?! Hatujafika huko,bado tupo kwenye mchakato wa kuandaa sheria itakayopelekea kupata mchakato wa kukusanya maoni ili tuandae rasimu ya katiba na hatimaye katiba yenyewe!
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe Chadema gani au Chadema kata? ujui hata Chadema walipeleka nini Ikulu
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Matanga gha mwisukulugho se!.
   
 16. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Mwambie salva a-skani aubandike jamvini, au atoe taarifa kwa umma! unahangaika sana mkuu, hatuitaki ccm sembuse kikwete!
   
 17. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,778
  Likes Received: 6,111
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuona kilaza humu JF kama huyu jamaa. Why wasting your time kujibu thread zilizoanzishwa na boga a.k.a kiazi?

  Kama hadi leo hajui ni nini CHADEMA walikifuata Ikulu, huyu ni wa kukaa naye mbali, hawezi kuwa binadamu wa kawaida tusije tukawa tunajibizana na kiumbe kingine! Na-logoff.
   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  fisadi mkubwa wewe
   
 19. jponcian

  jponcian Member

  #19
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Bwana Ritz!!

  Tatizo ninaloliona kwako ni kuongozwa na hisia pamoja na chuki zako dhidi ya CDM kiasi cha kukufanya kupoteza uwezo wako wa kufikiri, kuelewa na kupambanua mambo. Wewe ni mtanzania mwenye akili timamu, usitumie chuki zako kuwadanganya watanzania wenzio ambao hata hivyo watakuona wewe chizi tu. Walichopeleka CDM ikulu ni maoni yao yanayoonesha kutoridhishwa kwao na jinsi mchakato wa kupitisha sheria bingeni ulivyoendeshwa na wakapendekeza vipengele ndani ya sheria hiyo ambavyo vikiachwa vilivyo hatutapata katiba tuitakayo: katiba ya watanzania.. CDM hawakupeleka rasimu ya katiba.. Funguka macho, tumia akili yako timamu kuleta hoja za masingi siyo chuki zako za kipuuzi la sivyo utaendelea kuwa daraja tu, kuwavusha watu (CCM) wakati wewe ukiendelea kubaki hapo ulipo!
   
 20. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
   
Loading...