Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

katika kipindi cha dk 45 cha ITV leo, ametumia neno nchi za kiafrika lakini ndani yake ameongelea tanzania "kinyemela", kasema tatizo kubwa la nchi za africa wanatumia uraisi vibaya, akasema...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Asema kupeana uongozi kwa urafiki kunawazalilisha viongozi Sadick Mtulya 12/7/2009 UTAWALA wa Rais Jakaya Kikwete umezidi kukosolewa baada ya katibu mkuu wa zamani wa CCM, Philip Mangula...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekuwa na migogoro mingi kwenye vyama hivi viwili kiasi cha kutaka kufukuzana ama kufukuzana kabisa kwa baadhi ya wabunge. Nimekuwa nafakari kidogo kuhusu sababu hasa ya migogoro...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
5th December 2011 Naibu katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Bara Julius Itatiro akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari kuhusu kwenda Ikulu kuonana na Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed, ambaye yeye na wenzake 14, wamo kwenye msuguano mkubwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naona Mh. Dr Emmanuel Nchimbi katoa heri ya mwaka mpya na wadau woote wamempongeza tofauti na viongozi wengine wa CCM ambapo huweza kushushuliwa live, ila kwa huyu mh. watu almost wamemfagilia...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Dear Friends Why can't the Government support the Dar flood victims with low cost housing, instead of the tents as proposed by the Dar-Regional Commissioner? Assuming the "most needy" flood...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Mbunge wa Morogoro mjini Aboud amewakabithi mabati 30 na mbao 50 akina mama wawili wa Kihonda ambao uwezo wao ni mdogo kusaidia kuezeka nyumba zao zilizoathiliwa na mvua kubwa iliyoambatana na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Niliusikiliza kwa makini sana mjadala wa posho za wabunge A.mashariki na kati uliokuwa unarushwa hewani na radio bbc, nilishikwa na bumbuwazi nilipokuwa nasikia hoja za utetezi za nkamia kuhusu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Fredy Azzah LICHA ya aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo kung’atuka kwenye nafasi zao, Bunge limesema linasubiri ripoti ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Raia Mwema Lula wa Ndali Mwananzela Nilikaa pembeni nikisikiliza kwa makini maelezo ya Mbunge wa Igunga Mhe. Rostam Aziz (CCM) akielezea na kufafanua msimamo wake kuhusu hatua ya Kanisa la...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Bunge halijamalizana na Luhanjo, Jairo Monday, 02 January 2012 22:15 Fredy Azzah Mwananchi LICHA ya aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo na Katibu Mkuu wa Wizara ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati kuna madai yazungukayo hapa jamvini kuwa Kutakuwa na kazi ya kumsafisha Lowassa ktk Uchaguzi ujao wa CCM, inaonekana hiyo Shuhuli imeanza hapa JF na huenda ikapevukia hapa. Wadau Pumba na...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
  • Closed
Waziri wa ujenzi John Magufuli amekwenda kivukoni kutuliza hali ya hewa baada ya uongozi wa vivuko hivyo kupandisha nauli zaidi ya asilimia miamoja bila sababu za kueleweka! Nitawajuza habari...
2 Reactions
137 Replies
12K Views
Mwenye Taarifa ya ajali ya gari la Jeshi zanzibar inayosemekana kutokea leo atupa hapa !
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali inaongea kila siku lakini hakuna kinachofanyika!! kimepanda, kimeshuka hakuna mtu anayefungwa wla nini halafu tunategemea maendeleo. ATC inasaidia nini Tanzania! sasa hatuna pesa hata ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwaka huu umeanza vizuri na dalili zaonyesha CCM na CUF vifo vya kisiasa vitazidi kuwaandama. Ni juu ya wapanga mikakati wa CDM kutumia fursa ipasavyo, na kujiwekea mazingira mazuri ya kuchukua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jamvi, Kwa takribani ni miaka 20 sasa tangu baadhi ya watumishi Serikalini na Wanasiasa hapa Tanzania, kuamua kutumia nafasi zao Serikalini au nafasi zao Kisiasa kwa manufaa yao binafsi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
PAMOJA na kusudio la kuongeza posho za wabunge kupingwa na vyama vya siasa, viongozi wa dini na jamii, Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) mkoani Rukwa, Anna Malack ameamua kutetea kusudio hilo...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi, amewataka viongozi wa dini nchini kuacha kuilaumu serikali kuhusu ufisadi ambao unafanywa na viongozi, badala yake waiombee serikali isonge mbele...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom