CHADEMA na idara ya ideology and publicity: Giza nene!

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,105
Erasto Tumbo anapwaya sana ktk hii idara. Makamanda hamuoni?!
 
no reseach,no right to speak! hebu tanabaisha mapungufu yake ya kiutendaji katika nafasi yake. Na tutofautishe wasemaji wa wanachama na wasemaji rasmi wa hahari/taarifa za chama. heri ya mwaka mpya wana jamii!
 
apewe Regia Mtema hii nafasi

Kiatu 'hiki' kinamtosha Dada Mpiganaji, Regia Mtema. Shida ni kwamba kwenye suala la Erasto Tumbo kupwaya hata usemeje CDM hawatokusiliza. Zaidi watakutusi kama shukrani.
 
Hivi CDM ina msemaji? Mimi huwa naona tu matamko mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali ndani ya CDM. Labda Tumbo amepokwa madaraka na hapewi cha kusema tusije tukamlaumu bure.
 
tatazo cdm hawaaminiani.kila kiongozi anaogopa kufunikwa na mwenzake.
 
Mnamuonea bure Tumbo, wakati matamko yote yanatolewa na kina Heche, Lema, Mbowe, Slaa.
 
tatazo cdm hawaaminiani.kila kiongozi anaogopa kufunikwa na mwenzake.
Mkuu hili linaweza kuwa tatizo kubwa ndani ya CDM. Inawezekana kweli hakina kuaminiana ndio maana matamko yanakuwa mengi tena ya kujifagilia kila mtu kivyake. Tumbo amekuwa redundant automatically. Kila mtu anakimbilia kwa waandishi wa habari na tamko lake sasa Tumbo atatoa wapi matamko ya kutoa kwa umma!
 
wanasema ndio demokracia ndani ya chama!
 
siku zote post za mstari mmoja huwa hazina mashiko kwa sababu huwa hazijengi hoja kutetea kile anachokiamini mtu au huyu mleta thread anafikiri kile anachokifikiri kwenye kichwa chake kila mtu anakifikiri pia
 
Mkuu hili linaweza kuwa tatizo kubwa ndani ya CDM. Inawezekana kweli hakina kuaminiana ndio maana matamko yanakuwa mengi tena ya kujifagilia kila mtu kivyake. Tumbo amekuwa redundant automatically. Kila mtu anakimbilia kwa waandishi wa habari na tamko lake sasa Tumbo atatoa wapi matamko ya kutoa kwa umma!
Usichanganye matamko binafsi na yale ya chama.
 
siku zote post za mstari mmoja huwa hazina mashiko kwa sababu huwa hazijengi hoja kutetea kile anachokiamini mtu au huyu mleta thread anafikiri kile anachokifikiri kwenye kichwa chake kila mtu anakifikiri pia
Jamaa lakini ana hoja hata kama ameshindwa kuijenga vizuri.
 
Usichanganye matamko binafsi na yale ya chama.

Mkuu najua kuna matamko ya mtu binafsi na matamko ya chama kama taasisi. Lakini tatizo langu ni kwamba ndani ya CDM kumekuwa na matamko mengi ya watu binafsi kuliko matamko ya kichama ndio maana labda Erasto anakosa cha kutamka kwa niaba ya Taasisi. CDM kama taasisi inatakiwa iwe inatoa matamko ya kitaasisi zaidi kuliko haya ya mtu mmoja mmoja. Na matamko ya kichama ni vyema yakawa yanatolewa na aliye na dhamana ya kuyoa mayamko kwa niaba ya chama. Najua kuna matamko ambayo yanatakiwa yatolewe na mwenyekiti au Katibu lakini haya yawe ni matamko yenye mtikisiko siyo kila tamko la kichama litolewe na Mwenyekiti au Katibu Mkuu. Hii itamfanya msemaji wa chama akose kazi.

Kuna shida hapa: Huenda msemaji hatimizi wajibu wake ipasavyo au huenda msemaji wa chama anaingiliwa na viongozi wa juu na kunyimwa kutekeleza majukumu yake.
 
Huenda yote mawili yanatokea!!
 
Back
Top Bottom