CDM hamuuoni ufisadi huu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM hamuuoni ufisadi huu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shomy . I, Jan 1, 2012.

 1. S

  Shomy . I JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Niwahi kujibu kuwa cjatumwa na mtu yeyote. Hakuna kitu kibaya kabisa ktk maisha ya mwanadam km 'KUFISADI MAADILI' ya mtu au jamii. Jamii yetu imefisadiwa maadili lkn kwa mshangao mkubwa wanaojipambanua kuwa ni watetezi wa wanyonge km cdm, Kibamba, Nkya na wengineo hawazungumzii hl. Cwalaum sn kwani ufisadi mnaopigia kelele(maandamano) ndo mtaji wenu kisiasa. Nawaomba wahusika tumieni 'PEOPLE'S POWER' kuirudisha jamii ktk maadili ili tupate viongozi waadilifu vinginevyo ht huu ufisadi unaopigiwa kelele sio tu utatushnda bali utaongezeka maradufu coz watu hawana maadili mazuri. Nawasilisha hoja!!!
   
 2. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Hebu tuambie maadili mazuri ni yapi na mabaya ni yapi?
   
 3. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani ccm hawaoni huo ufisadi unaouona?Si uwaambie wao na ndiyo chama chenye dola?CDM inahusikaje hapo?Msipende kutumiwa tumiwa tu na magamba mnajidharirisha bure,masaburi wewe.
   
 4. S

  Shomy . I JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  napata mashaka na uwezo wa kufikiri wa baadhi ya watu. Hivi kweli ww huyajui maadili mazuri, kweli!!!!???? Ny ngoja nikukumbushe baadh tu. 1. Wasichana wasiva nguo fupi, suruali zinazoonyesha maumbile yao. 2. Kukomesha mashndano yote ya urembo. 3. Wanaume wasivae nguo za kike km comed na akina majuto. UPOOOO!!!
   
 5. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Njaa na bia za ofa toka kwa Nape ni nomaaaaa
   
 6. S

  Shomy . I JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  kweli kuna watu VILAZA. Hivi cdm si ni chama kinachotegemea kushka dola? Mbona wanaandamana kupinga kuonewa na polisi kwan wao wanahusikaje??? Hivi wakishka dola wataongozaje taifa lisilo na maadili??? Acha -ve atitude kuwa mtu akiwakosoa cdm bac ametumwa. Km hv ndivyo basi na ww utakuwa umetumwa kukanusha. Natania tu, ila kweli nchi yetu imefika pabaya ki maadili. Ahsante kwa kunielewa
   
 7. S

  Shomy . I JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  cjawahi kuota achilia mbali kufikiria kunywa pombe. Lkn mbona hujibu hoja mnakimbilia kukashfu. Nafurahi kuona kuwa umesoma na kuelewa japo hampendi kuona upande wa pili wa pazia kuna nini.
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  Nape anajitahid kweli!
   
 9. rweyy

  rweyy Senior Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  wewe vipi kukomesha wanaume kuvaa nguo za kike kama comed we wa wapi unaposema comed si tayari una jibu ina maaana hujui comed ni kitu gani wewe unafanana na wabunge wa magamba wanao piga kelele bugeni kuhusu comed ina maana hawajui comed ni nn
   
 10. Y

  Yetuwote Senior Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hiyo ni kazi ya serikali? Umeishaiambia serikali? Sheria kuzuia baadhi ya unayosema zipo ila utekelezaji ndo mmbovu. Kama unataka chadema ifanye utakavyo isaidie iingie madarakani 2015, kwa sasa kuwa mpole, peleka hoja yako kwa chama tawala.
   
Loading...