Position ya jk kwa mgombea anayemtaka kuwa rais ndani ya ccm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Position ya jk kwa mgombea anayemtaka kuwa rais ndani ya ccm.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MNYISANZU, Jan 1, 2012.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni ipi nafasi ya mwenyekiti wa CCM katika hii issue?? Tujuzeni
   
 2. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,128
  Trophy Points: 280
  Iwapo wewe ni mwanachama wa CCM, ni ipi nafasi yako kuhusu suala hili? Kwani chama ni watu, sio mtu mmoja mmoja. Mimi binafsi nikiwa mwanachama, nasema chagua langu bado, na sioni anaetosha hadi sasa, na isitoshe, hakuna waliojitokeza hadharani tukasikia mipango yao kwa taifa hili, ili tuweze kubaini ni nani anatufaa. Vinginevyo, tukiendelea kujiuliza Mwenyekiti chaguo lake ni nani, huo utakuwa ni udhaifu mkubwa sana kwetu sisi kama wanachama kwani again, Chama ni Watu.
   
Loading...