Kuna faida gani viongozi kuwa na nyadhifa kwenye mihimili miwili tofauti ya dola kwa wakati mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna faida gani viongozi kuwa na nyadhifa kwenye mihimili miwili tofauti ya dola kwa wakati mmoja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kanguni, Jan 15, 2012.

 1. K

  Kanguni Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati huu ambapo tupo kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya, naomba wanaJF mnisaidie kujua ulazima wa mfumo unaoruhusu viongozi wetu kuwa na nyadhifa katika mihimili miwili tofauti ya dola kwa wakati mmoja...
  Yaani waziri ambaye ni kiongozi wa juu kwenye mhimili wa Serikali, ndo huyo huyo pia ni sehemu muhimu ya mhimili mwingine ambao ni Bunge... kwanini mtu asichague moja? kwani wanaoweza kazi hizo ni wao tu?
  Iwapo ni vema kiutendaji waziri awe amepitia ubunge, basi kuna madhara gani akishateuliwa uwaziri asiache ubunge? au akitaka ubunge asiache uwaziri wala asinyemelee cheo mahakamani!!!... ili kuepusha conflict of interest kwenye ufanisi wa dola?
   
Loading...