CHADEMA: Ni vipimo gani mnatumia kujiridhisha kwamba 2015 mtawin | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA: Ni vipimo gani mnatumia kujiridhisha kwamba 2015 mtawin

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MNYISANZU, Jan 15, 2012.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  CDM ina sintofahamu zifuatazo: Katiba mpya, NEC, TISS, Zanzibar
   
 2. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,319
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nyambafu zako.

  sorry moderator.
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  kachunge ng'ombe....
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,152
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Madhara ya surua za ukubwani...akili zinapoteza uwezo wa kufikiri.
   
 5. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi wamekutoaje Mirembe mbona bado hujaponaaa!!
   
 6. m

  massai JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Muulize
  mr
  kuchekacheka,vipi
  haliza
  watanzania
  kimaisha
  kama
  ameyaboresha
  then
  jibu
  unalo.nyambafff
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kumbe nyambafu na kuchunga n'gombe ndio vipimo vyenu LOL!!
   
 8. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,853
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mnyisanzu kwann usipeleke kule jukwaa la chit chart? kimsingi hichi ulichotupia hapa hata hakieleweki,tulia we mwenyewe soma tena utabaini, c suala la vipimo/upeo
   
 9. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,575
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kapige mbizi , ulianza kutoka miguu badala ya kichwa alafu ulikua primach. Kilaza
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  msimshambulie ana hoja,ila kwa vile mnamkimbiza mwizi mna haki ya kuwa na hasira hata na polisi anaetaka kumkamata kwani inonyesha hamna imani nae.

  kaka mnyisanzu jibu ni kuwa haki haijawahi kushindwa na dhulma.
  2.za mwizi arobaini kama hazijaongezwa.
  3.dalili ya mvua ni mawingu.
  4.ukiona mgonjwa anataka ugali wakati yuko icu taarifu ndugu wawashe moto.
  5.tunauhakika utawala hauna nafasi tena tunataka uongozi.
  6.................
  7...................
  8.....................
  sababu zipo nyingi kaka.
  tuacheni tuna majonzi.
   
 11. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,750
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  Naomba hata msimlaumu jamani, kwani muuumba katupa upeo tofautitofauti, naye upeo wake ndo umefikia kikomo hapo
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,177
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Soma signature yangu; wakiendelea kumuweka padre ikulu wasahau trust me..

  Watafute mtu mwenye elimu, sasa kanuni za kanisa ndio nini?? si akaendeshe misa?? aagh!
   
 13. T

  Tata JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,338
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180

  Ndugu Mnyisanzu najua kuna watu hawajapenda ulichosema lakini ndio ukweli wenyewe. Ili washinde uchaguzi wa 2015 lazima CDM wazingatie vikwazo vilivyomo kwenye katiba ya sasa ili visiwepo kwenye katiba mpya, lazima waangalie nafasi ya NEC kwenye kutangaza washindi, majukumu ya TISS kwenye kusimamia/kubadilisha matokeo ya uchaguzi.
   
 14. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wote waliokusahambulia tutakutana 2015 ambapo tutakuwa baridi kama ilivyotokea 2010.
   
 15. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duu! Wale wale mafarisayo wanaojifanya wanajua kutabiri wakati hata wao wenyewe hawajitambui! Jitambue kwanza, ndiyo uanze kuwasema wenzako. Kajipange Mpya mkuu
   
 16. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  i think si makosa yako' ni umbea 2 unaokusumbua also na ufinyu mdogo wa kufikiri ulionao" MIAKA 50 YA UHURU BADO UMBEA NA UJINGA NI TATIZO KUBWA KWA MAMLUKI KAMA WEWE"
   
 17. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  USITAFUTE UMAARUFU KWA KUIDIS CHADEMA BKOZ WA2 KAMA NYIE MPO WENGI SANA NA MNAONGOZWA NA MAYAGE .S. MAYAGE, KWA USHAURI WANGU KWAKO NI VYEMA UNGEJIUNGA NA WAKINA MZEE YUSUPH KWENYE TAARABU KWANI HATA UKO MTAJULIKANA TU. Take care men bkoz chadema so level zako.
   
 18. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,743
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Duuu ndio hao wanataka kuongoza nchi.wakiwa madarakani mwananchi akitoa hija kuwa tunataka tujengewe zahanati atajibiwa kamwambie mama yako.wanademokrasia hao.lakini watanzania sio wajinga kama mnavyofiri 2015 CCM itapaa kwa ushindi wa kishindo
   
Loading...