Tanzania ya kwanza Afrika Mashariki kwa Demokrasia

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Katika utafiti uliofanywa na the Economist Intelligency Unit Tanzania imeshika nafasi ya 90 kati ya nchi 165 duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kwa demokrasia. Should JK brag on this?

Source: The Citizen
 
Back
Top Bottom