Rambirambi kwa msiba wa Dada Regia Mtema Dodoma

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,066
1,535
Dear all,

wakati bado tukiendelea kumtafakari mtanzania mzalendo Dada Regia Mtema aliyefariki juzi kwa ajali ya gari, Chadema mkoa wa Dodoma imeonelea ni vema ikatuma ujumbe na salamu za rambi rambi kwenye mazishi ya kamanda Regia Mtema.

tafadhali, kama mwanadamu, mtanzania, mwanadada, mwanajf, kijana, mwanamageuzi, mwanachadema au mtani wetu mwanaCCM na umeguswa na jambo hili, tafadhali pita pale barabara ya 9 karibu na viwanja vya vya barafu ili uweze kujumuishwa katika salamu ambazo zitafikishwa msibani kwa dada Regia.

unaweza pia ukawa haupo dodoma, lakini ni mwanajf, na hujui ni vipi unaweza kufukisha salamu hizo, basi mpigie simu bwana Iddi Kizota (Katibu wa chadema wa mkoa) 0715 303015 au 0787 303015 ili akuelekeze jinsi ya kufikisha rambirambi zako...

Bwana alitoa Bwana ametwaa. jina la bwana lihimidiwe!
 
Back
Top Bottom