Katika taarifa ya TBC Hawakumwonyesha Hayati Regia kwenye Habari ya Bonde Kilombero japo alikuwepo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika taarifa ya TBC Hawakumwonyesha Hayati Regia kwenye Habari ya Bonde Kilombero japo alikuwepo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Darick, Jan 15, 2012.

 1. D

  Darick JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani katika taarifa ya habari ya TBC katika habari kuhusu wananchi wa kilombero kuisihi serikali iwaache wamalizie msimu huu wa kilimo kabla hawajaondoshwa kama ulimuona yule mama aliyekuwa amepiga magoti na kutambaa, na kuongea kilugha akiomba hisani ya serikali alikuwa akitambaa kumwelekea mtu ambaye alimtaja kuwa ni mwanamke mwenzake na anaomba amsaidie wakati akiendelea niliona mguu wa gongo kama lile alilokuwa akilitumia dada yetu Regia. na moja kwa moja nikagundua kuwa alikuwepo kwenye mkutano ule. ila hawakutaka kumwonyesha!! je hi ni kwa sababu za kimaadili au ni nini? kwa maoni yangu naona engekuwa vizuri kama wangemwonyesha ili kuzidi kutufariji kwa kuondoka kwake!! je wewe mdau unaonaje?NawasilishaSource TBC1
   
 2. D

  Darick JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lengo la kupost hii silid ni kuonesha kuwa nilishangazwa na hatua y kutokumwonyesha hayati Regia katika uhai wake akitekeleza moja ya majukumu yake ya kila siku, hasa kwa hili ambalo linaonekana ni la hivi karibuni. sipati picha ni kwa nini?
   
Loading...