Ccm and mind control (50 yrs of mind prison) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm and mind control (50 yrs of mind prison)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TECHMAN, Jan 16, 2012.

 1. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  This is result of mind control ambayo imefanjwa during single part.

  1. Vijiji vya ujamaa ilikuwa njia ya kwanza ya mind control, mtu hakuruhusiwa kumiliki mali, kutangaziwa uzuri na umuhimu wa ujamaa na bila kupewa option of to be or not to be on vijiji vya ujamaa.

  2. Zidumu fikra za mwenyekiti. another Mind control, Kila alicho zungumza kiongozi wa chama kilikuwa ni sahihi na haikuruhusiwa negative question or negative comments. Yeyote aliekuwa na mtazamo au mawazo tofauti, hata kama mawazo hayo yalikuwa na manufaa alionekana ni muasili na alidhibitiwa, waliofanikiwa kukimbia nchi tukafundishwa nyimbo za kuwatukana eg Kambona, Chipaka nk.

  3.Tulifundushwa na kulazimishwa kuamini kuwa nchi yetu ndo nchi bora kuliko zote duniani, tulilazimishwa kukariri na kuimba nyimbo za kuonyesha uzalendo tangu watoto wa chekechea eg( Tanzania nakupenda kwa moyo wote, and others).

  4. The biggest mind Control was UHURU torch ( Mwenge wa uhuru). It was created and people made to believe that this torch was real and alive, ( umulike hata nje ya mipaka yetu ulete tumaini, pale ambapo hapana matumaini. upendo mahali ambapo pana chuki na heshima ambapo pamejaa dharau.) Watu waliimba toka moyoni wakiamini kuwa kweli mwenge unaweza kufanya haya yote. Mwenge ulipokuwa unaingia kwenye kijiji, shunguli zote za kijiji zilisimamishwa, kuliwa na sherehe kubwa na wanawake na wanaume wakacheza ngoma mbele ya mwenge,.
  Mwenge ukija kijijini ni lazima kila mtu kutua mchango wa mafuta na wanafuzi wote mashuleni walitumwa pesa ya mafuta na hii ilikuwa ni lazima wala haikuwa hiyari.

  Kuna kizazi kinacho kuja ambacho kina fresh mind ambacho hakijui ushenzi wa mwenge wala fikra za mwenyekiti ambacho kitasimama na kutuuliza maswali ambayo tutakosa majibu yake, How can torch make peace where there is peace? love were there is no love?.
  They will ask, Is this celebration of 50 yrs of military or what, they only see on TVs military parade, war tactics and military and war equipment's.

  They will ask, if we have all this natural resources, why our country is poor?

  THEY WILL NEED ANSWERS, AND IF WE WONT GIVE THEM, THEY WILL FIND THEMSELVES, AND WHEN THEY GOT THE ANSWERS , THINGS WILL NOT BE SOME AGAIN
   
 2. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Du mkuu ndio umeifungulia thread kabisa!
  Ila urudi kule kumjibu Mkandara, kabla hatujaendelea na "uzi" huu!
   
Loading...