Kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga arejea toka India | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga arejea toka India

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwanajamii, Jan 16, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  View attachment 45395

  kada wa ccm mussa Tesha aliyemwagiwa tindikali na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chadema akiwa na Mweka hazina wa ccm Mwigulu Nchemba.

  Zaidi michuzi
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hapa ni baada ya kufika nchini toka huko Apolo hospital -India
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 4. W

  Wings Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni muda muafaka sasa wa yeye mwenyewe kutuweka wazi ili ukweli ufahamike
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ni kweli,tujue mbivu na mbichi.ni nini hasa kilitokea.nani Hasa alihusika katika hujuma hii?
   
 6. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Sababu inayoweza kuhalalisha kitendo hicho ni kama mhanga alikuwa anataka kukutoa roho yako. Ni ukatili mkubwa sana, hasa unapofanyika kwa sbabu ya watu kutaka uongozi. Pole sana kijana nimesononeshwa sana na hiyo picha. Shukrani kwako Mchemba pia kufuatilia matibabu ya huyo kijana huo ndio utu na udini wa kweli ubarikiwe kwa hilo.....................
   
Loading...