Pamoja na msiba mkubwa mlionao chadema mbeya wasingiziwa kuwachochea wafanyabiashara wa sokoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pamoja na msiba mkubwa mlionao chadema mbeya wasingiziwa kuwachochea wafanyabiashara wa sokoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndyali, Jan 16, 2012.

 1. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Kumekuwa na tetesi kuwa wakatisha ushuru katika masoko ya jiji la Mbeya wamekuwa wakichakachua makusanyo ya ushuru katika masoko kwa kuwa na vitabu vya sitakabadhi zidi ya kimoja, Matokeo yake mapato ya halimashauri ya jiji yameshuka sana. Uvivu wa kuwadhibiti watumishi wasio waminifu umepelekea halimashauri ya jiji la Mbeya kupandisha ushuru wa soko kutoka Tshs. 200/= kwa siku mpaka Tshs. 500/= kwa siku, pia kuna kulipia choo cha soko Tshs. 200/=X idadi ya kuingia chooni, kodi ya pango la vizimba Tshs. 65000 kwa mwezi, mchango wa lazima wa Mwenge kama utapita Mbeya NK. NK. NK.

  Asubuhi ya leo akinamama wanaouza soko la Soweto walijifunga vibwebwe na kulifunga soko na kuanza kuchuuza bidha zao kimachinga machinga. waliotaka kuendelea kuuza sokono hapo walichalazwa viboko vya mgongono huku wakiambiwa haki inapatikana kwa kuidai. Baadhi ya kinamama walisikika wakijiapiza kupambana na polisi iwapo wangekuja kuwapiga mabomu ya machozi, walisema polisi hawana haki ya kuwapiga kwa sababu bidhaa walizogoma kuziuzia sokoni ni za kwao. Cha ajabu badhi ya misukule ya Chama Cha Magamba walisikika wakisema ni CHADEMA imewachochea wafanyabiashara kugoma.:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

  May take CHADEMA ndiyo haki ya wnanchi?
   
 2. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mapambambano yanaendelea!
   
 3. m

  mariantonia Senior Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haki haiombwi inachukuliwa
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hao wachawi na wevi ni wanga. Wamejaa magamba, yatanyofolewa tu.
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Wacha waendelee hivyohivyo ionekane kumbe ukidai haki yako wewe ni chadema, na sijui magamba watakuwa wanamtetea nani sasa:
  Madaktari
  wanachuo
  wananchi
  nk yoote migomo hii inaletwa na cdm kweli ccm hamfikilii kabisaa rekebisheni hali hii the magambaa's
   
 6. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Magamba una fikiri wana upeo wowote wa kufikiri mkuk!yaani ndugu yako akishakua mwanachama wa magamba andika kua mmepata hasara kwa kua na member kilaza ktk family
   
 7. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Wakuu heshima kwenu, kuheshimiana kumetokea leo hii Mbeya badala ya kupeleka polisi kuwapiga mabomu wananchi wanaogoma kuzia ndani ya soko la Soweto na kuanza kuzuza bidhaa zao kimachingamachinga barabarani. Mkurugenzi wa jiji la Mbeya ametuma maneno ya kuwaomba wafanyabiashara warudi kuuzia bidhaa zao sokoni na kusitisha dhuruma ya ongezeko la ushuru wa zaidi ya 100% ya ushuru wa awali kwa siku. Kumbe ukombozi wa kweli umekaribia TZ.:lol::lol::lol:
   
 8. B

  BUBERWA D. JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  chama mlegezo huzaa serikali mlegezo yenye hoja mlegezo kwenye mambo yaliyo kaza. Nyie chadema mlitaja kumi na moja tu sio hao tu tunao wengi sanaaaaa! (nape)
   
 9. M

  Maga JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kwa mtindo huu bado kazi tunayo
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hivi mtu anayetendewa haki anaweza kushawishiwa akatae haki anayotendewa?
   
Loading...