ratiba ya mazishi ya rejia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ratiba ya mazishi ya rejia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Neema William, Jan 16, 2012.

 1. N

  Neema William Senior Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  baada ya misa itakayofanyika leo katika kanisa la segerea jijini hapa kesho mpendwa wetu ataagwa katika ukumbi wa karimu Jee kiserikali na baadaye Regia atasafirishwa kuelekea nyumbani kwao Ifarakara kwa Nduna kwa ajili ya kumuhifadhi katika nyumba yake ya milee, ni maneno aliyosema baba yake mkubwa Regia, Kanuti Mtema
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wekeni muda katika ratiba hii.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ratiba mbona hakuna hapo? Kareem jee saa ngapi?
   
 4. s

  sawabho JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ratiba au maelezo? Nini maana ya ratiba?
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  pasi na shaka kariamjee itaanza saa ne asubuhi ili wawahi kusafiri kuelekea huko viwanja sitini Ifakara.
   
 6. g

  gomezirichard Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ok, ni vizuri watu juishe wana JF ratiba kamili, ili watu waweze kufika hilo eneo , Hakika Mwanaharakati kama Regia anagusa wengi na ndio maana watu tupo informed kwa kila jambo , Mungu anajua the root cause ya ajali yake ila kama ni mwanadamu anahusika ajue kuwa auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga! naye hataishi Milele! Upanga u juu yake ila kama ni Mungu mwenyewe Jina la Bwana nali barikiwe! Ametoa naye Ametwaa! Amen!

  Gomezi Richard
   
 7. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  JF members tumejipangaje? Nani anakusanya rambirambi?
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Bange mbaya sana , hii uliyo andika hapo juu ndio ratiba?

   
 9. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lakini si umeelewa?
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hakuna kilichoeleweka hapo hata kimoja. Ratiba lazima iwe na vitu vifuatavyo Tarehe, Tukio, Muda na Mahali. Sasa kwa akili yako changa tafuta hivyo vyote kwenye hiyo thread, ndio utajua BANGE MBAYA halafu mnaseme eti kuna GT humu JF

   
Loading...