Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa wale waliokua wakisema Kubenea amenunuliwa na Lowassa sasa na waseme tena, maana watu wakisema huyu jamaa ni mtu asiyetabirika, hamuelewi. Leo kampa haki yake Lowassa. Lowassa anajua...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
• ASEMA ‘USAFI’ WA NYERERE SI WA CHAMA na Hellen Ngoromera ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinari Pengo, amewaonya viongozi wa Chama cha...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimekuwapo kwenye viwanja vya Karimjee katika kumuaga Shujaa wetu Mh. Regia Mtema. Ni viongozi wengi walikuwapo, kuanzia wa Serikali pamoja na Waziri Mkuu ni Makamu wa Rais. Pia Mawaziri, Wabunge...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116539 E-mail: press@ikulu.go.tz Website: www.mawasilianoikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425...
1 Reactions
150 Replies
14K Views
Wana JF wenzangu na watanzania wote kwa ujumla, Regia amefariki! Mwanga huu umepotea haraka sana. Kwangu mimi tangu nilipopata habari hizi kupitia mtandao huu nimejitahidi kulazimisha kuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF walivaa flana zenye maandishi haya mgongoni Baadhi ya viongozi waliwasili kama inavyoonekana chini: Hawa pia walikuwepo, katika mikao tofauti kabla ya mwili kuwasili: Waziri...
19 Reactions
93 Replies
18K Views
Kesho 18/01/2012: Kutakuwa na maandamano yaliyoandaliwa na wanachama wa CUF Jimbo la Wawi-Zanzibar yatakayoanza saa 2:00 asubuhi Tawi la CUF Vumba, na kumalizikia kiwanja cha mpira -Vumba kwa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Viongozi wa bunge wanaosema kwamba si wabunge tu wenye mishahara mikubwa bali wafanyakazi wengine wa serikali na kampuni kama NSSF na TANAPA wana mishahara na marupurupu makubwa wanakosea. 1...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani kila kukicha katika vyombo vya habari habari inayo tawala ni kuhusu uraisi mwaka 2015 ukienda ccm chadema nk vyama vina shindwa kuongelea maendeleo ya wananchi wana baki kuongelea urais...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WASOMI na Wanaharakati wameponda kauli ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kulinganisha posho za wabunge na majaji pamoja na wanataaluma wengine serikalini wakisema 'ni kauli ya mchumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MHE. REGIA E. MTEMA – MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI KWA WIZARA YA Mheshimiwa Naibu Spika, ninawashukuru Ukoo wote wa kina Mtema na Kihaule; wazaziwangu Dkt. & Mrs. Estelatus Mtema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
CDM mmemuona regia e. Mtema na Morogoro yake? Hii ya Kilombero mpaka Ifakara je? Wabunge mmeona? Kwa mara ya mwisho kuwasiliana na regia ilikuwa ktk salamu zake za mwaka mpya, nilimpongeza na...
5 Reactions
52 Replies
7K Views
Kamanda Regia kabla ya kututoka alituaga hapa JF kwa kutuambia kazi alizo zifanya Katika kukuza chama Wilayani Kilombero kuwa alifanikiwa kulipia na kufungua Ofisi za CHADEMA katika Kata 5...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Unajua katika watu wanaoshangaza pale dom ni huy bwana jamani. Kwa waliomtuma ama kumsaidia kujibu swala la posho naamini hatomfwata tena Ati aanashabikia posho za wabunge na kusema mnajua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekuwa mfutatiliaji wa siasa za bongo. Kuna kitu nimegundua JK anapoenda kufungua miradi ya maendeleo yeye anafika anatia mkasi tu bila hata kufuatilia chochote mbona Mwanri anagombana na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MIAKA50 YA UHURU: TULIKOTOKA, TULIPO NA TUNAKOKWENDA (KWA MAJADILIANO KATIKA STARTV: 03/12/2011) Prof. Mlambiti, M. E. Utangulizi Katika kujadili mada hii, nimeona niegemeekwa kujadili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia Msiba wa Marehemu Regia......................... MAKUNDI mawili yanayopinga ya wanachama wa Chadema jana nusura yazichape kavukavu yalipokuwa katika msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Viti...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tumekuwa tunawataja maraisi watarajiwa kwa majina. Lakini nadhani turudi nyuma kidogo, tujiulize Je ni raisi mwenye sifa zipi atakaye uondoa umasikini Tanzania. Labda tunahitaji mbepari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
ni takriban wiki nne sasa wanafunzi 63 wa kiislam wanaosoma shule ya secondary ya ndanda wamesimamishwa na wengine kupewa masharti magumu ili warudishwe ikiwa ni pamoja kutofanya ibada wakiwa eneo...
0 Reactions
124 Replies
13K Views
Salamu wana JF, Kila kukicha majina wa sifa yanaibuka. Siku moja likaibuliwa jina la 'Mtoto wa Mkulima' maana yake ikiwa ni kuwajali wakulima wa Tanzania na watu wengine wenye kipato cha chini...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…